Yanayoendelea Uganda kwa Bobi Wine family na wapinzani hata shetani anashangaa

Yanayoendelea Uganda kwa Bobi Wine family na wapinzani hata shetani anashangaa

Sio mke wa bob yule acha ushambenga,alafu yule mwanamke ndo mkorofi anataka kumpiga askari pia wanawake wakikikamatwa silaha yao ni kuvua nguo hadharani
 
Sio mke wa bob yule acha ushambenga,alafu yule mwanamke ndo mkorofi anataka kumpiga askari pia wanawake wakikikamatwa silaha yao ni kuvua nguo hadharani
Kweli yule mwanamke ndio alianza kumsukuma sukuma askari ni kama yeye ndio alikuwa kishari.
 
Kwani si nilisikia alisafirisha familia yake nje au ilikuaje tena?
 
Madaraka ya kulevya,,huyu m7 alikuwa mwanamapinduzi kwelikweli lakini ndo hivyo kalewa madaraka,,inategemea na makuzi ya mtu toka utotoni,,hata hutu wine nae hatujui akipata madaraka atakuaje,,
Wawe wanajitahidi kuwapa madaraka watu waluolelewa ndani ya ustaarabu..
M7 aliingia madarakani kwa kutumia bunduki hivyo kumuondoa madarakani kwa njia ya karatasi (kura) ni vigumu mno.
 
Nimeamini madaraka yanalevya, tuseme m7 anataka kuongoza mpk mwisho wa uhai wake?
Mara abadilishe umri, mara katiba yaan viongozi wetu wa Afrika kama wana uraibu vile
Kuna mission hajaimaliza kuitekeleza....! Au unataka Uganda igeuke, Colombia, Haiti ama Mexico!?
 
Mi nawashangaa wanaosema video sio nzuri eti wanashindwa kushea hapa wakati ye mwenyewe amepata kwa kusambaziwa au ipo fb huko acheni u snitch nyie watoto wa kiume.
 
Sasa ulituletea ya nini hii habari yako kumbe huwezi kuweka taarifa kamili? Eti mbaya kwahiyo utukaririshe tu hapa halafu sisi tucomment!!!?
 
Trust me. Mi nimeamua kuondoka Africa kabla ya December hata kama ni kwa mguu.
 
Back
Top Bottom