UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mkuu hiyo video mie nimeiona huko huko Youtube na ndio comments za watu zinasema kuwa sio mke wa Bob wine,na hata hivyo video yenyewe huwezi kumuona vizuri yule mdada kiasi cha kumjua hasa ni fulani na hata yule mtoto kavaa sijui mask huwezi kumuona sura. Lakini pia Bob wine alishasafirisha familia nje ya nchi haipo Uganda.Ingia you tube ipo kama vipi waweza fanya cmparison na mke wake unayemjua.Wanaosema siyo yeye wanapotosha tu.