Yanayoendelea Uganda kwa Bobi Wine family na wapinzani hata shetani anashangaa

Hii habari si ni ya siku kadhaa nyuma? Leo tume ishafanya yake.
 
trust me.. mi nimeamua kuondoka Africa kabla ya December hata kama ni kwa mguu..
Kuondoka hakuondoi tatizo,tatizo linaondoka kwa kutafakar na kuchukua hatua sahih,hata huko unapopasifia watu walipambana mpaka leo hii unavutiwa na matunda ya waliopapambania.
 
Kuondoka hakuondoi tatizo,tatizo linaondoka kwa kutafakar na kuchukua hatua sahih,hata huko unapopasifia watu walipambana mpaka leo hii unavutiwa na matunda ya waliopapambania.
nitafakari, nichukue hatua kwa ajili ya nini hasa?.

kwako, kutafakari na kuchukua hatua ni kubaki tanganyika tu, na si kiyume chake?.

ili ni kwa mujibu wa nini?
 
Mi nawashangaa wanaosema video sio nzuri eti wanashindwa kushea hapa wakati ye mwenyewe amepata kwa kusambaziwa au ipo fb huko acheni u snitch nyie watoto wa kiume.
Kusambaa kwa video haimaanishi ni nzuri.Video ipo fb pia ipo you tube lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa si nzuri ni ya udhalilishaji kwa wanawake.
 
Mbona kuna taarifa BBC walitangaza kabla ya uchaguzi Bob Wynne aliwasafilisha mke na watoto wake Malekani kabla ya Uchaguzi anaweza kuwa mwanamke mwingine tu ..inawezakuwa misinformation za social Media
 
Mbona Tanzania imeshampongeza Mu7 kwa ushindi
 
Tatizo la Bob wine ni kama la akina Lisu, ni mapandikizi ya mabeberu. Hebu wawe wapinzani wazalendo wasitumie wazungu, washauri serikali kwa upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…