Mkuu hiyo video mie nimeiona huko huko Youtube na ndio comments za watu zinasema kuwa sio mke wa Bob wine,na hata hivyo video yenyewe huwezi kumuona vizuri yule mdada kiasi cha kumjua hasa ni fulani na hata yule mtoto kavaa sijui mask huwezi kumuona sura. Lakini pia Bob wine alishasafirisha familia nje ya nchi haipo Uganda.Ingia you tube ipo kama vipi waweza fanya cmparison na mke wake unayemjua.Wanaosema siyo yeye wanapotosha tu.
Wanakuwaje mapandikizi kwani mikataba yote ya kinyonyaji iliyoingiwa na serikali ya CCM wao ndo waliipitisha.Tatizo la Bob wine ni kama la akina Lisu, ni mapandikizi ya mabeberu. Hebu wawe wapinzani wazalendo wasitumie wazungu, washauri serikali kwa upendo
Watoto wote wa Bob aliwapeleka nje ya nchi tena nje kabisa ya Africa. Alisema atapambanana yeye na mke wake.
Alisema yeye si wa kwanza kufanya hivyo hata Mseveni watoto wake aliwaweka Tanzania pindi anapigana msituni.
Shangaa ya huku kwako mkuuMimi nashangaa bado kuna Raia Uganda wanaweza kumpigia Kura Museveni!
Yule jamaa anamatatizo sio bure, kabadili umri na katibaNimeamini madaraka yanalevya, tuseme m7 anataka kuongoza mpk mwisho wa uhai wake?
Mara abadilishe umri, mara katiba yaan viongozi wetu wa Afrika kama wana uraibu vile