Sasa nikuulize, Wewe unasema wametumwa na umewataja kwa majina.
Swali langu kwako.
Ni nani amekutuma wewe kuandika haya uliyoandika
Tupo tunausikilizia mchezohii vita inaonekana kama vile ni kati ya wanywa mbege na wanywa maziwa? lkn wote ni wakazi wa kaskazini.
au ni vita kati ya masalia ya mwendazake na wanaharakati?
ngoja tuone mwelekeo unavyo kwenda na mwisho wake.
Mchezo ushaisha we endelea tu kusikiliziaTupo tunausikilizia mchezo
Endelea kuota, sterling ameshauwawa picha imeisha,Mpaka nione maandishi yaliyo andikwa The End