Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu


Cheap labour mda mwingine wanazalishwa na migongani katika familia hasahasa zile advanced marginalized, zenye sifa ya umaskin wa kutupwa na kukosa wasomi.(VERY TRUE)
 
Kuna njia nyingi za kuishi

Maana hata ukabeba viloba miaka 100 huwezi kuikamata hata mil 1

Kuna namna za kuishi mjini , hiyo kugeuzwa msukule inaonesha something wrong on ur mind.

Self-investment ni muhimu in this life.
Talking always so cheap

Instead kuandika theories hapa ingekuwa vizuri ukaweka hizo njia hapa
 
Ni kweli mkuu.wewe uliwashauri?
 
Tatizo lako umeathirika kwa uchawa na mtu akisema ukweli ukweli unaona ni matusi. Lile shungi siyo la dini, ni unafki. Huwezi kuacha kusaidia wanawake wenzako wanaokufa kwa kukosa sh laki moja ya kujifungilia na unakwenda kununua saa ya sh milioni 100. Huwezi kufukuza wamasai na wengine kufa ili tu uwape watu wachache eneo. Halafu nimesema wananchi ndiyo wanatakiwa wawe wakali na siyo tu kubadilisha chama. Hata hii CCM inaweza kuwa nzuri iwapo sisi wananchi tutakuwa wakali na ikibidi tukinukishe kama hawataku kufuata matakwa yetu. BTW kama unaona uko level moja na Kenya kiuongozi pole sana. Sikulaumu kwani najua ni uwezo wa kichwa chako. Na mwisho mwambie rais awe na adabu kwa sisi raia wenye nchi.
 
Sure mambo kwa ground ni magumu.
Ndomaana namuliza alivokaa nao alifanikiwa ku unlock mind zao?
Kind of theories

Ku-unlock akili huku huna hat 100 utafanya nini na hip akili uliyo unlock, talking like tuna pretend kujifanya hatujui mtaji hakuna....You need initial money to move, hizo pesa hupati kwa akili yako kuwa unlocked.
 
Kind of theories

Ku-unlock akili huku huna hat 100 utafanya nini na hip akili uliyo unlock, talking like tuna pretend kujifanya hatujui mtaji hakuna....You need initial money to move, hizo pesa hupati kwa akili yako kuwa unlocked.
The whole truth.....ambayo waliokwisha fanikiwa huwa wanaziba maskio.
 
Hakuna strategies zinahitajika za maandishi....vijana wanataka kazi zenye tija.....wapewe.

Nje ya hapo ni maneno matupu ya wasomi wengi kama nyie.
 
Vijana wa aina yako huwa mnaishia jela au kwenye rehab centres kwa bangi mnazovuta. Hiyo approach yako ni ya kipumbavu na ni kinyume na sheria. Hebu jaribu kuonyesha mfano kisha tukufuate kama kweli unamaanisha unachosema...
 
Sure mtu ana mtaji,anategemewa katoka familia fukara kwann asifanye iyo kazi maisha yaende.

Na hao wenye degree wanaofanya izo kazi nao akili zao zipo lock mamb ni tight jaman kuna mademu wasomi wanajiuza awapend ila ndoivo shit happen.
 
Kwel kbs.. tuwe grateful.. mtu kwa mwez anaingiz elf 80.. just imagine
Nyingi ivo nipo bar hapa napiga story na barmaid nikamgusia boss anawalipa salary shingap?

Anasema amna salary ila akimaliza kuuza crate la bia anapewa elf 2 na crate linaisha 3 days unaweza image there life....Tushukuru sana Mungu kwa kutupa ridhiki mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…