Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Habari ndio hio ndugu zangu na uzuri karibu kila mtu anajua nini kinachoendelea kwa sasa.

Hivyo, wewe mwananchi wa kawaida huku mitaani, utarajie mambo kama hayo unayoyasikia kutoka kwa askari tunaoishi nao huku mitaani in case uko katika mazingira hayo.

Issue ni kwamba, kama madai tunayoyasikia ni ya kweli, unadhani hawa wa vyeo vya chini watafanya tofauti?

Naomba niishie hapa.
 
Back
Top Bottom