cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Palee ni pabayaa hatari, ikitokea ajari ni kilio nchi nzima.Hakika mkuu,pale kwa msuguri round about kama unatokea bochi hospital kona ya kuingilia mbezi,bajaj na boda boda zimegeuza kituo,na wamachinga wameanza kuweka meza zao barabarani kabisa,so ukiwa unatokea bochi kuingia moro road inabidi utoke nje ya barabara kuwakwepa wao,siku ikitokea ajali pale mamlaka ndio zitashtuka
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app