Yanayojiri ajali ya Lori Stop Over-Kimara: Miili 3 na bodaboda 6 zatolewa, zoezi la kuondoa lori linaendelea

Palee ni pabayaa hatari, ikitokea ajari ni kilio nchi nzima.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana majeruhi wote Mungu awaponye, poleni sana wafiwa Mungu awe faraja kwenu, Marehemu wote wapumzike kwa Amani.
 
Ingetolewa amri kuzuia bodaboda kujipanga na watu wengine kufanya biashara pembeni mwa barabara nchi nzima
 
Hivi hakuna uwezekano wa kuchonga barabata ipite huko pugu pembezon mwa reli ikatokee morogoro huko...ili malori yawe yanapita huko jamano...
Ipo inayotokea Gongolambota hadi Kibaha Kongowe, awamu ya Kikwete kulikuwa na mpango wa kuiboresha magari makubwa yapitie huko kupunguza foleni. Kama unavyojua mkuu, nchi hii "vilongwa mbali vitendwa mbali'. Upembuzi na michakato then jiiiii.
 
Ni balaa ikifika jioni. ile barabara ya kushuka chini huo msongamano wa magari, bajaji, boda, raia na magenge ya bidhaa unajiuliza wanunuzi wanasimamaje bila kufyekwa makalio.
Mida ya jioni ni pale vurugu mechi zaidi ya kkoo,madereva wa boda na bajaj na wamachinga mida sheria inakua juu yao,usiwazingue kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…