Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Watamuua mzee kificho kwa pressure hao wavuta bange,saa ingine natamani abwage manyanga na kuwaachia bunge lao.
Hao wahuni mtu anaewafaa ni sita,ana makinda ambao hawanaga mzahamzaha na roho ya ustaarabu ustaarabu.
 
Dawa ya kuondoa hizi vurugu na uchangiaji usiokuwa na tija ni kuweka Deliverable za Kila siku.. Kama imetokea wakashindwa kilichokubaliwa kufanyika kwa siku hiyo then tunapunguza posho.. Otherwise watu wakigombana tutaendelea kuahirisha..na wengine wanataka watumie siku zote 90 badala ya 70.. So spika unabidi awe makini sana
 
Bunge Maalum la Katiba liko moto. CCM wanapewa za uso safari hii.
 
Kiukweli bunge la wawakilishi na watanzania lazima tujivunie kuwa na mtu kama huyo Mzee Kificho. Hapa ndiyo huwa naamini CCM kuna baadhi ni wazuri sana mf. Ni huyo Kificho tatizo wengi wanajitoa ufahamu. Ningekuwa na uwezo ningesema Kificho ndiyo awe Mkiti wa kudumu. Kwa jinsi anavyoliendesha hili bunge anastahili pongezi sana mle juna kuna baadhi ni vichaa bahati nzuri hawajafikia hatua ys kuvua nguo
 
Hama kweli humu ndani ya jf mazuzu wapo wengo tena zaidi ya zuzu zito kaongea bila kujali itkadi za vyama au kubaguwa mtu hata yy akiwemo zuzu anajitokeza anaingiza maswala ya vyama sijui chama chake kipya. Ukitaka tuingize maswala ya vyama cdm yenu wabunge wenu wamefanya ni humo zaidi ya kelele na wao ndio wanafanya mambo hadi bunge linaonekana alina mahana na wahuni mwambieni mbowe na vitoto vyake viache kelele
 
Una hoja makini, but ulio taja tu mi TV Yote hayo umenippotezea na point kwa kuchekaaaaaaaaaaaaaa

But kificho awe mkali kidogo tumalize mapema ata kama kuna mapingamizi ya mitazamo ya wanaharakati (sendeka, serukamba)
 
Jana bunge liliahirishwa kwakuwa wabunge walidai wamechelewa kupewa nakala ya sheria namba 32 hadi 43. Leo bunge limeahirishwa kwa sababu secretariet imetoa majedwali mawili ambapo jedwali moja halionyeshi majina ya akina Mwalimu na Sendeka.

Kwa vyovyote vile wazembe wanajulikana na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa dhidi yao.

Kama mwendo huu utaendelea kila siku bunge litakuwa linaahirishwa huku posho zetu waamka taabani zikiendelea kuliwa.

Ushauri wa bure kwa kamati ya kanuni, waandae sheria ya mpito kwamba hapo bungeni yeyote atakaeonekana kuanzisha vurugu asilipwe posho. Na kwa njaa walizonazo hao watu utaona kama watafanya tena fujo.

Kuna tabia nyingine imezuka ya watu kupiga tu kelele za kuzomea hata kama jambo linaweza kuzungumzika na majadiliano yakaendelea. Hili mimi naona linasababishwa na baadhi ya wabunge wanaotaka bunge kiahirishwe ili wakafanye starehe zao. Dawa ya hawa watu ni kuwawekea monitor atakaeandika majina ya wapiga kelele ili yanapotokea mazingira ya hivyo, majina yanasomwa then kama kawaida wanakatwa posho.

Haya yasipofanyika, hakuna rasimu wala katiba mpya hapo mjengoni. Tutarudi mwaka 77 kuendelea na zilipendwa. Kikwete alisema 'mkileta utoto hatutapata katiba mpya. Na kwa vile nchi haiwezi kuendeshwa bila katiba tutarudi kwenye katiba ya zamani'
Hahahahahahahahaaaaaaaaaa...........!!!!

Dawa ya hawa watu ni kuwawekea monitor atakaeandika majina ya wapiga kelele ili yanapotokea mazingira ya hivyo, majina yanasomwa then kama kawaida wanakatwa posho.
 
Msihangaike na huyo kibaraka wa ccm, kwn jamaa alishanunuliwa kitambo sasa hawezi kupingana na mabwana
zake hawatomuelewa.

Kanuni wanazotaka zipite ccm n zile zisizo na maslahi ya taifa na zito hawez kupingana nao ndo maana anakacha vikao hana lolote zaid ya unafiki na akizeeka lazima awe mchawi.
 
Ukiondoa unafiki wa kawaida wa kibinadamu, kila mtanzania angependa aipate hiyo nafasi ya kuwa mjengoni kwa sasa. Kitu ambacho kingetofautisha ni dhamira, nia ya dhati na mchango wa mtu akiwa pale. Hapo ndo ningetofautiana na wengine. Ningehudhuria vikao vyote hata kama ni usiku wa manane, ningesaini fomu yoyote ya posho inayokatiza kwangu, kura yoyote ya siri nisingeshiriki, na mwisho ningekaa kimya vikao vyote huku nikivuta mkwanja tu. Sababu yake ni kwamba hao wote walioko hapo bungeni ni porojo tu, katiba itatoka kama ambavyo 'wenye mamlaka' watataka iwe. Kinachofanyika hapo ni ulaji na kupotezeana mda.
wewe umekata tamaa, kwa hiyo unataka kutuvunja moyo watanzania wote, kaa kimya, hujui kitu.
 
Kujuaje wanajadiliana upuuzi kama yeye anasema hafuatilii na ana mshukuru Mungu? Utajua je kama hufuatilii?
 
Hapo penye Red Mkuu naomba nikusahihishe.
1. CV za Mtu ni Cv ya Mtu
2. Kutuonyesha badala ya Kutuonesha
3. Anaejua badala ya Anayejua
4. Anae badala ya neno anaye
Rudi Darasani Mkuu una kiswahili kibovu kama Cha Masai wa Longido

Mm najifariji hata hichi nilicho andika na nashukuru umenielewa nini nilicho sema angalau
 
Hivi ndugu zangu bado mna imani kabisa ukombozi wa nchi uko kwa wanasiasa hawa????!!!!!
 
ccm mumezoea mutuvunge lkn mwaka huu tutakula sahan moja mkono kwa mkono
 
Ukiondoa unafiki wa kawaida wa kibinadamu, kila mtanzania angependa aipate hiyo nafasi ya kuwa mjengoni kwa sasa. Kitu ambacho kingetofautisha ni dhamira, nia ya dhati na mchango wa mtu akiwa pale. Hapo ndo ningetofautiana na wengine. Ningehudhuria vikao vyote hata kama ni usiku wa manane, ningesaini fomu yoyote ya posho inayokatiza kwangu, kura yoyote ya siri nisingeshiriki, na mwisho ningekaa kimya vikao vyote huku nikivuta mkwanja tu. Sababu yake ni kwamba hao wote walioko hapo bungeni ni porojo tu, katiba itatoka kama ambavyo 'wenye mamlaka' watataka iwe. Kinachofanyika hapo ni ulaji na kupotezeana mda.

umenena mkuu! hii ni sanaa tupu! maendeleo TZ ni ndoto kwa mwendo huu! It looks like there is an evil spirit behind us! nashindwa kuamini kusikia wasomi maprof wakishadidia kura ya wazi kwa kutumia hoja zisizo na mashiko! ningekuwa mm ndo naamua peke yangu ningelipiga chini bunge hili mapema kabla hatujafika mbali! Mtikira alisema kuwa ni genge la wahuni watu wakambeza lakini yako wapi mawazo ya watu wenye hekima tuliyoyatarajia? tunakazi ya kufanya mabadiliko!
 
Back
Top Bottom