Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Kweli siyo vema kuropoka ni vema kujenga hoja tena zenye mashiko hasa kuliko watu wazima wanaropoka bila hata hoja zozote.
 
Hii kanuni ya ngapi????!mi nasubil ya kura ya wazi na siri nione kificho akihirisha tena bunge


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Hama kweli humu ndani ya jf mazuzu wapo wengo tena zaidi ya zuzu zito kaongea bila kujali itkadi za vyama au kubaguwa mtu hata yy akiwemo zuzu anajitokeza anaingiza maswala ya vyama sijui chama chake kipya. Ukitaka tuingize maswala ya vyama cdm yenu wabunge wenu wamefanya ni humo zaidi ya kelele na wao ndio wanafanya mambo hadi bunge linaonekana alina mahana na wahuni mwambieni mbowe na vitoto vyake viache kelele

wewe naona una nyege wataka kukunwa ktk hao wote umemwona mbunge hata mmoja wa chadema akituhumiwa kwa vurugu au kua na mlengo wa kichama?------- mkubwa wewe hata kuandika hujui
 
Inashangaza sana kuona mtu mzima mwenye ndevu na unafamilia, lakini bado akili yako inashikiliwa, unalkosa kuwa na uhuru wa maamuzi. Shame on Magamba!
kila nikijaribu kufikiria akili zao, mchozi unanitoka tu!
Kwanini mwanaume mzima ukubali kuendeshwa? haiingii akilini!
 
hee ivi mbowe anakunyima usingizi usije pata pressure ua unamwonea wivu ? moyo wako una nywele wala huna lolote
sendeka hana elimu ya darasa ila ni mtu anaeweza kujieleza nafikiri hivyo
 
Mimi ninashangazwa na tabia ya mjumbe wa bunge maalumu ole sendeka kusimama mara kwa mara bila kuwa na hoja ya maana mbona kwenye bunge la jamhuri huwa analala sana?au ni kampeni ya posho.
 
Nashukuru Mungu nimeacha kufuatilia bunge la katiba hadi huu upuuzi wa kanuni uishe.source wall ya zitto

Haya ni maneno yaliyoandikwa na zitto kwenye wall yake ya FB hivi ni kweli bunge maalum linajadili upuuzi kwenye kanuni kama zitto alivyoona tutafakari maneno haya kwa kina na tujadili

Ni sawa maana ni haki yake kusema, lakini swali kidogo tu.Hivi kutunga kanuni ni upuuzi na je kuchukua posho bila kushiriki kutunga kanuni huu siyo upuuzi??? where is value for money; ni swali tu
 
Wakati wa kuchangia marekebisho ya vifungu vya sheria hasa kifungu no 61, mheshimiwa Olesendeka ametamka maneno yafuatayo:MHESHIMIWA MWENYEKITI KAMA UNANINYIMA NAFASI YA KUTOA MCHANGO WANGU, BASI HAINA HAJA YA KUENDELEA KUKAA HAPA BUNGENI. Kwa mbunge mzoefu kama huyu kutoa maneno kama hayo nafikiri ni kutawaliwa na jazba na kulewa madaraka.Anatoa mafunzo gani kwa wajumbe wageni hapo bungeni?
 
Ivi mbona Hawa wabunge wanaongea Kama wako bar???? Yani mtu anaongea na wengine nyuma wanaongea!!!!! Madudu matupu
 
Yani haka kajamaa ni kikwazo cha katiba ni chakuangalia kwa makini sana hiki kimasai
 
yeye ndo mpuuzi kukimbilia mahakamani ili apate posho na ni mpuuzi kweli kwa kujifanya hajui issue ya IPTLwakati mgao kapata shame on you
 
Mjumbe mmoja ambaye ni mwakilishi wa Taasi zisizo za kiserikali (NGO) Mustapha ,kawa mbogo kwa madai ya Kua Mwenyekiti wa Bunge la Mabadiliko ya Katiba anapendelea na kuendeshwa na vyama vya siasa na watu maarufu kwa kuwapa nafasi za kutoa hoja huku akiwasahau wajumbe 201 walioteuliwa na Raisi na kujiona hawana wanachokifanya kwnenye Bunge hilo.

Je ni kweli Mwenyekiti anapendelea.
 
Mwanaume mzima anaendeshwa, hana msimamo. mpaka inashangaza, sijui watoto wake wanamuonaje!
 
Kiukweli naona kuna watu wamehodhi bunge hili!utasikia Oluochi,Umy mwalimu,Olesendeka,Mnyika,Machali,Serukamba.kuna nini hapa kama sio upendeleo!taasisi nyingine ziko wapi,hazina wawakilishi?Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom