Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Mwenyekiti kajibu hoja .. kwa kusema kua , anaowapa nafasi ni wale waliopendekeza majina na hoja ya mabadiliko kwake kabla ya kikao.. otherwise hana mahali pakutoa wajumbe wa kuchangia .
 
Anatafuta umaarufu usio na faida.

Umeona hee! kificho kasema alichelewa kupeleka table of amendment.. akamuruhusu kama ana hoja asimame on floor yeye anabisha tuuuuu

Jinga sana ililibaba.
 
Mm mh nakuunga mkono bunge malumu la katiba linaudhi sana na ni kutokana na misimamo ya makundi ni kweli makundi lazima yawepo lkn makundi lazima yangalie maslai ya taifa
 
Nafasi za kuchangia ziko wazi hawaombi mkuu wanaochangia wameomba nafasi hizo ndiyo maana unaona wanachangia.
 
Ni bora wakafanya uchaguzi wa mwenyekiti mpya haraka...huyu wa sasa atasababisha majanga tu kama sio kupoteza muda na kutafuna hela bure. Yani kwa mwenyekiti huyu hawataweza kufika muafaka kwenye lolote. Wanaweza maliza hata miezi sita.

Ole sendeka na Abubakar mchana walileta tafran nusura watu wakunjane mashati. By the way, hivi unategemea mmasai aombe radhi? Tena kwa umri ule wa sendeka kuomba radhi si kitu rahisi hvyo. Yule mzee ni mbishi ati! Not to mention ni mmasai.
 
Mwenyekiti kajibu hoja .. kwa kusema kua , anaowapa nafasi ni wale waliopendekeza majina na hoja ya mabadiliko kwake kabla ya kikao.. otherwise hana mahali pakutoa wajumbe wa kuchangia .
Huo ndiyo ukweli wanaochangia ndiyo waliomba kuchangia kama mjumbe hakuomba hakuna namna.
 
Nafasi za kuchangia ziko wazi hawaombi mkuu wanaochangia wameomba nafasi hizo ndiyo maana unaona wanachangia.

hayo ndio aliyoyasema mwenyekiti ..hawezi mnyanyua mtu from no where achingie ..majina anayo na pakitokea pendekezo ..hua anatoa nafasi ..
kama umemsikiliza dakika 15 zilizopita utakua unanielewa
 
Ni kweli tena sio tu watu maarufu bali pia wanaofahamika kuwa na vijisenti.
 
Mwenyekiti kajibu hoja .. kwa kusema kua , anaowapa nafasi ni wale waliopendekeza majina na hoja ya mabadiliko kwake kabla ya kikao.. otherwise hana mahali pakutoa wajumbe wa kuchangia .

mbona wengine wanadai walipeleka majina lakini hawaitwi?mbona wengi wanaoitwa ni wanasiasa?je tuseme hawa wajumbe wengine ni waoga/mbumbumbu?
 
Huo ndiyo ukweli wanaochangia ndiyo waliomba kuchangia kama mjumbe hakuomba hakuna namna.

na ndio ukweli huo .. na aliyelalamika akiulizwa kaleteta hoja yake kwa ajili ya kupresent ..
na ndio utaratibu waliokubaliana toka mwanzo ..iweje saaa ivi waona ni upendeleo ...
Endapo mwkiti umemplekea jina na akakuruka basi hapo una haki ya kulalamika .. juu ya hilo .. ! lakini kama ni utaratibu basi wasfuaate utaratibu .
 
Kiukweli naona kuna watu wamehodhi bunge hili!utasikia Oluochi,Umy mwalimu,Olesendeka,Mnyika,Machali,Serukamba.kuna nini hapa kama sio upendeleo!taasisi nyingine ziko wapi,hazina wawakilishi?Naomba kuwasilisha.
Wamepewa mapendekezo ya mabadiliko na makundi yao ili wayazungumzie.
 
Ni kweli tena sio tu watu maarufu bali pia wanaofahamika kuwa na vijisenti.

mm naona kama utaratibu walikubaliana toka awali kwamba mchangiaji atawakilisha jina na kifungu anachofanyia marekebisho kwa mwenyekita kabla ya kikao ..wanaona now ni upendeleo ..iweje walazimishe kutumia njia nyingine ..kama alikua ana hoja na hakupeleka jina kwa mwnyekiti iweje alamike ..
 
Watanzania maneno mingi, hata katika mambo ya msingi bado ujanja ujanja haukosekani..............
Hii Nchi imekuwa ya kisanii sana, nashangaa hatukuwemo kwenye tuzo za Oscar.
 
Back
Top Bottom