Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Attention seeker pasipo kujijua alishakuwa mpuuzi siku nyingi.
Kama angekuwa hafuatilii nadhani angekaa kimya tu sasa yeye kwenda huko fesibuku na kuandika upuuzi kama huu sijui alikuwa anamueleza nani kwa faida ya nani.
 
[h=2]Bungeni: Waandishi wa Habari Makanjanja[/h]
Ndivyo mchangiaji aliemaliza punde alivyosema katika Bunge hili la katiba waandishi wa habari ambao ni Makanjanja wasipewe nafasi na wanyimwe vibali vya kutoa taarifa za Bunge kule Dodoma wakati bunge linaendelea.,
 
Watanzania maneno mingi, hata katika mambo ya msingi bado ujanja ujanja haukosekani..............
Hii Nchi imekuwa ya kisanii sana, nashangaa hatukuwemo kwenye tuzo za Oscar.
Wana practise SIASA.....F
 
Kweli. Wa bunge hapa hakuna walamba kodi tu. Wameamua kuzozana ili siku za posho ziwe nyjngi wachache sana sana wanaojitambua wapo hapa kwa sababu gani
 
Ndivyo mchangiaji aliemaliza punde alivyosema katika Bunge hili la katiba waandishi wa habari ambao ni Makanjanja wasipewe nafasi na wanyimwe vibali vya kutoa taarifa za Bunge kule Dodoma wakati bunge linaendelea.,

Nimemsikia vizuri, lakini watawatambuaje? Watakagua vyeti? Halafu makanjanja wapo kila sekta si waandishi peke yao.
 
Baadhi ya wachangiaji wametaka kabla ya bunge hilo kuanza na kumaliza basi iwe kwa dua ili wale wenye mashetani akina Olesendeka mashetani hayo yaweze kuondoka vichwani mwao., waislam na wakiristo wataomba kwa dini zao. TBc Live
 
Jamaa utoto unamsumbua. Ubovu wa bunge hili tunapaswa kuusema sisi tulio nje sio yeye ambaye ni mjumbe na anayo nafasi ya kushiriki na kurekebisha mambo. Sii atangaze kujitoa basi kuliko kupiga kelele huko FB?
Hiyo ndiyo picha halisi ya huyu Zito, ni mtu ambaye hawezi kufanya kazi na wenzie hata kidogo. Yeye anasubiri jambo litakalo mpa sifa binafsi basi akiliotea analivalia njuga ili aonekane yeye ni bora. Hiyo ni moja ya sifa ya kiongozi mbovu ya kujiangalia yeye na sifa binafsi.
Zitto ni kijana msaliti na anayetumia ujanja kutafuta huruma za watu na kujionyesha kuwa yeye ni bora.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Yaani heading yako haijakaa kama tetesi Bali habari kamili. Next time learn to differentiate. Hakuna vurugu na usikurupuke kuandika taarifa usokuwa na uhakika nayo (tetesi)
 
mambo ya msingi tunayafanyia mzaha ndio maana inatuumiza sana
 
Hawa jamaa wanakera sana!!! Utadhani mijitu mingine imeokotwa vijiweni tuuu!!! So sad, hasa ukizingatia uzito na umuhimu wa kazi walliyopewa......

"Haijawahi kutokea bunge la kihuni,lilolochaguliwa kihuni na limejaza wahuni na washenzi kama bunge hili". Mch. Mtikila
 
Ndivyo mchangiaji aliemaliza punde alivyosema katika Bunge hili la katiba waandishi wa habari ambao ni Makanjanja wasipewe nafasi na wanyimwe vibali vya kutoa taarifa za Bunge kule Dodoma wakati bunge linaendelea.,

Kwa kweli kwenye ile Bil 8 za karabati wa viti,
ingetumika hata Bil 2 kukarabati bongo zao kwa kuwapa semina elekezi!!
 
Wapendwa Kwanza niwakumbushe hawa Waheshimiwa hawajawa Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba.
Kama sikosei watakuwa hivyo baada ya kula kiapo na hilo Bunge maalum kuanza kazi.
Hivi sasa nadhani ni wateuliwa wamo kwenye semina.

Kuna jina lilimpa shida sana Mwenyekiti wa muda kulitamka la mjumbe aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu kwa taaluma.

Sasa ni Kila saa, utamsikia Mwenyekiti akimtaja "Mheshimiwa ALL WATCH", ni Kila saa !!

Huyu Mwalimu inaelekea amejipanga vizuri, hata wakati mwingine akisimama tu anaunga mkono ...Katibu wa Bunge maalum atakuwa na madaraka makubwa... kama mjumbe aliyetangulia alivyosema naunga mkono.

Haya mi sielewi labda huko mbele kuna fursa zitawajia za kuwa Wenyeviti wa Kamati kwa sasa wanakula mazoezi !!!
 
Back
Top Bottom