Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Nimegundua wabunge wengi wa ccm hawasomi, bali wanachangia kwa hisia au ushabiki. Mhe. Ole Medeye ni aibu kabisaaaa. Ndio maana kuna matusi na kuzodoana kwa sababu mtu anachangia bila kusoma jambo husika!!!!
 
Kiboko ya wote ni Livingstone Lusinde, yeye anasema Tanganyika ndio nini maana ilikuwepo yeye hajazaliwa. Na kama Nyerere aliikataa basi wao ndio Nyerere wa kizazi hiki. Yaani ni aibu "kiazi" kama kile eti kipo kututengenezea katiba.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
ndugu wanajamvi,
ni ukweli usiopingika maadili ya wanajamii hapa tanzania yamekwesha kwa asilimia kubwa hususani kwenye swala la uvaaji wa nguo. Hasa wanawake hata kama ni kwenda na wakati ila inakera. Mimi napendekeza kwenye rasimu ya katiba kifungu hiki kiwekwe na sheria ipitishwe kuzuia uvaaji wa nusu uchi.
 
Wabunge wamekuwa kila mara wanapewa muda wa kupumzika ili wasome makabrasha wayaelewe yaliyomo. Ajabu kumbe hata hawasomi. Katika bunge hili tutajionea mengi. Haleluya!
 
Wabunge wamekuwa kila mara wanapewa muda wa kupumzika ili wasome makabrasha wayaelewe yaliyomo. Ajabu kumbe hata hawasomi. Katika bunge hili tutajionea mengi. Haleluya!
Mama Mdogo tumeshajionea tayari ni majanga matupu
 
Last edited by a moderator:
Wabunge wamekuwa kila mara wanapewa muda wa kupumzika ili wasome makabrasha wayaelewe yaliyomo. Ajabu kumbe hata hawasomi. Katika bunge hili tutajionea mengi. Haleluya!

Muda wanaopewa kwa ajili ya,kusoma wao wanakuwa chako ni chako wanatafuna bloiler na kutiririsha serengeti
 
Huyu Medeye ni mbunge wangu tunajuta afadhali tungekaa miaka 5 bila mbunge. Tunatamani 2015 ifike kesho. Hatuna maneno tunauma meno tu.
 
Kazi tunayo kweli. Utadhani aliibuka toka usingizini
 
Ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye maandisi hicho ndo kinachotokea kwenye bunge letu hawasomi hizo kanuni bali ni brabra nyingi ndo maana mwandosya aliwapa facts jana
 
kwa imani yangu ningependekeza Kificho aendelee kuwa spika wa bunge la katiba,kwa kweli Zanzibar wana kiongozi mwenye busara na hekima ya hali ya juu sana,huyu mzee ni miongoni mwa watu kama Shaban robert tunaowasoma kwenye vitabu,
 
Kweli mkuu. Hakuna kitu muhimu zaidi ya maoni ya wenye nchi.
Unautoa wapi uhalali wa hata kutetea muungano piga ua usivunjike bila maoni ya wenye nchi?
Mbara anakujibu: utaifa kwanza, tumeoleana.
Ina maana hawa watu wote ni wa pwani hata wasijue Kenya waliyoipiga vita kwenye muungano ina wajaluo, wamasai na wakurya wenzetu? Kwani nchi ikiwa sovereign ni lazima ichukiane na neighbor?
Eti Nyerere angekataa. Nyerere gani angekubali uvunjwaji wa katiba ya JMT 2010 huko Znz? Wajifunze kujenga hoja si kukariri
 
kwa imani yangu ningependekeza Kificho aendelee kuwa spika wa bunge la katiba,kwa kweli Zanzibar wana kiongozi mwenye busara na hekima ya hali ya juu sana,huyu mzee ni miongoni mwa watu kama Shaban robert tunaowasoma kwenye vitabu,
 
Muungano ukiendelea mi ntajiua kuficha aibu kwa wajukuu zangu.

KWANINI ZANZIBAR WALIUNDA KATIBA YAO BILA KUTUSHIRIKISHA?
WHAT IS ZANZIBAR BY THE WAY?
HAYA MABO YATASABABISHA MACHAFUKO
NITAANZA MIMI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…