Bunge hili linadhalilisha na kuchefua zaidi! Watu wameweka uchama mbele badala ya maslahi ya taifa. Nidhamu ni msamiati katika bunge hilo, maccm wengi wametanguliza zaidi maslahi ya chama!
Ok pia nawe wasilisha rambirambi za marehemu Mwangosi kwa mjane.
Ni neno la leo tu kaka
Ok pia nawe wasilisha rambirambi za marehemu Mwangosi kwa mjane.
Ni neno la leo tu kaka
Imefika wakati sasa niombe Msaada wa CV ya Ole Sendeka kabla sijatoa ya Moyoni kwanza.
Kwa kifupi nimeanza kumfuatilia Ole Sendeka kutoka kipindi kile cha Sakata la Richmond kwa michango yake iliyokuwa katika Mlengo wa Kati lakini kwa yanayoendelea leo Bungeni imenibidi niombe Msaada wa CV ikizingatia mambo yafuatayo.
1. Amesoma wapi Primary, Sekondari, Chuo na Proffesional yake pamoja na kazi yake ya kwanza kufanya.
2. Pia na uzoefu wake katika kazi hizo.
Naomba kuwasilisha.
kwa Olesendeka kuzaliwa mwaka 1964 nakataa.Kaka yangu wa mwaka 1959 anaonekana kijana kuliko yeye.Mwana apolo wa mererani huyo
Hivi kuna mtu anaejua kama hili bunge naweza kuliona online?