deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 944
Bunge hili linadhalilisha na kuchefua zaidi! Watu wameweka uchama mbele badala ya maslahi ya taifa. Nidhamu ni msamiati katika bunge hilo, maccm wengi wametanguliza zaidi maslahi ya chama!
wale walafi wa posho wakakimbilia posho na kuvaa miwani ya mbao wakijidai kutakasa uchafu kuwa usafi ndo matokeo yake haya,bamia hawezi kuzaa ubuyu.