Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameenda kuhiji huko bungeni au kutunga katiba hivyo lazima wajue priority za muda wao ziwe wapi, hakuna aliesema watu wasifanye ibada zao za wiki lakini wazingatie na kilichowapeleka kule na hela za walipa kodi; right now tanzanians are not getting value for their tax-money kwa mambo yanayo endelea kule dodoma.Marehemu Profesa kighoma Ali Malima alikuwa akitumia chumba kimoja kwa ajili ya kuswali akiwa Wizara ya uchumi na Elimu kama sijakosea na kuitwa mdini na kusakamwa vikali na mfumo kristo! sasa unashauri wabunge wapewe ukumbi kwa ajili ya swala ya Ijumaa! jee, vitimbi vyenu vya kuwasakama na kuwasimanga Waislamu lini mmeamua kuacha?
Sina imani na simiyu yetu, ukereketwa wa chama ameuweka mbele sana badala ya maslahi ya taifa. Zaidi ya hayo hana uwezo wa uchambuzi na ufahamu wa mambo. Daima yupo kufuata upepo.