Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Ni sawa mkuu lakini hawajawatendea haki watu jamii ya Kingunge Ngombale Mwiru
alopitia chama cha waganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa mkuu lakini hawajawatendea haki watu jamii ya Kingunge Ngombale Mwiru
alopitia chama cha waganga
That is not an excuse, kama ijumaa ilikuwa siku ya ibada kwanini walipanga bunge la katiba midaa hiyo. Tumeona wa-Islamu kama hakina Hakeem Olajuwon ambao wapo uwanjani na swaumu yao muda ukifika wanaingia changing room wanapiga mkeka wanakunywa maji na kurudi kwenye kazi.Hakika mkuu. Ila imechangia pia na leo kuwa ni siku ya ijumaa. Kuna wengine walikuwa wanadai haki ya kwenda kufanya ibada mapema
Muhishmiwa muhishmiwa muhishmiwa nakutahadhalisha tena kwa mara nyingine, kua mwangalifu ktk kutaja timu kali inayoongoza kwa maneno machafu mjengoni ila mi nakupa dondoo tu, haya kuna mwingine anajiita mchumi daraja la kwanza, ayayayayaaa huyu sasa inasemekana anazini hadi na wake za wenzake, asee jamaa mi natoka naogopa SUPER CONCENTRATED SULPHURIC ACID.
Kodi zetu?! Well japo silipi kodi lakini hii tabia yao ya kutokwenda na muda inaonyesha hawako makini
Sijasikia dua ya wasioamini uwepo wa Mwenyezi Mungu
Ni sawa mkuu lakini hawajawatendea haki watu jamii ya Kingunge Ngombale Mwiru
Hawa jamaa ni wapuzi sana yani wanahairisha wakti wamechelewa kuingia Bungeni,halafu wanasingizia swala swala,------- zao
Duh...hii nchi sijui "tumerogwa" na nani! Halafu TRA wanahangaika kuwabana wachuuzi kulipa kodi na haya ndi matumizi yake. Hawana hata huruma?
That is not an excuse, kama ijumaa ilikuwa siku ya ibada kwanini walipanga bunge la katiba midaa hiyo. Tumeona wa-Islamu kama hakina Hakeem Olajuwon ambao wapo uwanjani na swaumu yao muda ukifika wanaingia changing room wanapiga mkeka wanakunywa maji na kurudi kwenye kazi.
Hivi hao wanashindwa kupewa sehemu moja katika ofisi za bunge na nusu saa ya kutimka kupiga mkeka na kurudi na wengine wakiwa recess hiwapo bunge lingeanza saa mbili za asubuhi au hata saa tatu. Sababu za kuvunjika siku ya leo sio kabisa halafu kwanini hizo kanuni hazikutayarishwa mapema the whole thing is becoming a joke by day na mimi naamini kwa mwendo huu huko mbele hakuna kitu.
Kosa ni nini mkuu.Timuatimua wajumbe wote wa katiba mpya
tuwe na uvumilivu kuheshimu wenzako kama wanavyo kuheshimu, na suala la Duwa/Swala lina umuhimu kadri ya individual perspective na walio tufikisha hapa sio hao wanaotaka kwenda kwenye swala,Kabisa aisee yaone yanahairisha kikao wakati yamekea nusu saa tu, yanasingizia swala,
Wakti hata matendo yao hayana Mungu hata kidogo
Mkuu mimi naheshimu sana ibada za watu,na ni haki yao wale wanapaswa kuswali kwenda kufanya hivo.tuwe na uvumilivu kuheshimu wenzako kama wanavyo kuheshimu, na suala la Duwa/Swala lina umuhimu kadri ya individual perspective na walio tufikisha hapa sio hao wanaotaka kwenda kwenye swala,
Hiyo red ni Conc H[SUB]2[/SUB]SO[SUB]4[/SUB]-nimekumbuka chemisrty bunge la katiba full shule kwa watanzania
Mbona Kingunge na Lyatonga mrema tayari walishaokoka?
Mkuu hiyo dua inasomwaje vile?
kwanza ukumbuke kuna saa ya kikao , which was 10am to 12 noonMkuu mimi naheshimu sana ibada za watu,na ni haki yao wale wanapaswa kuswali kwenda kufanya hivo.
Hoja yangu ni kuwa semiba ilibidi ianze toka saa nne lakini wabunge wameanza kkao saa 5:25 , na baada ya dua tu wakaanza kudai bunge lihairishwe wanaenda kuswali,na.hata ambao hawaswali wametumia mwanya huo sasa kama walijua leo kuna swala kwa nn hawakuwahi? Kama wamekosa utii kwa taifa lao je watamtii Mungu?