Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

Kwa kweli sijaona Bunge ambalo halina mpangilio kama hili. Ni vurugu tupu kinachoendelea. Sioni utaratibu hapa na ni kama wanapoteza muda tu. Sioni kama kazi hii waliyotumwa itafikia kwa wakati ambao watanzania tulitarajia. Nina mashaka hata hiyo katiba itakayopatikana kama kweli itakuwa serious. MUNGU atusaidie!
 
Majadiliano yanaendelea juu ya namna ya kuunda Kamati ya maridhiano. Wabunge wengi wanataka Mwenyekiti apate muda wa kuunda timu hiyo kwa umakini ili kutoweka watu wasio na sifa
 
Leo sijawaona wale watu wawili wanaobadilishana jinsia wakati wa kuchangia hoja. Akitwajwa yule wa kike, anasimama wa kiume, hali kadhalika akitajwa yule wa kiume anasimama yule wa kike. Halafu wanafujo sana
Mkuu, ni nani hao? Au ni Sendeka na Ummy Mwalimu? Umemsahau pia na Serukamba
 
Bunge limeahirishwa hadi kesho saa 4 kamili asubuhi. Nawashukuru kwa ushirikiano na tukutane tena hapo kesho.
 
Wakuu semina inameahirishwa mpaka j,mosi asubuhi tuvumiliane tutapata katiba mpya.
 
Wajumbe wanajikweza sana! kila mmoja anataka aonekane ni top. pamoja na umakin wote hulka ya ubinafsi itazaa feki katiba
 
Bunge limeahirishwa hadi kesho saa 4 asubuhi. Posho imengia bila lolote la maana.
 
Mkuu, ni nani hao? Au ni Sendeka na Ummy Mwalimu? Umemsahau pia na Serukamba

Haloo muheshmiwa usiseme kwa sauti watakusikia, kuna mwingine ongezea hapo yeye ni mbabe sana na ni kiongozi wa club maarufu ya soka hapa nchini, aise hiyo combination ni noma.
 
Kazi kweli kweli siku tisini ni ndoto haya kitu cha kumalizwa kwa nusu saa kwanini kisingefanywa jana, asubuhi wakakaa kamati ya maridhiano na mchana watu wanakuja kukamilisha kazi. Nina wasiwasi sana kama sababu hizi zinakosa suluhu za haraka haraka huko mbele tunahitaji miujiza hawa kuweza kukubali jambo lolote kiurahisi.
 
Haloo muheshmiwa usiseme kwa sauti watakusikia, kuna mwingine ongezea hapo yeye ni mbabe sana na ni kiongozi wa club maarufu ya soka hapa nchini, aise hiyo combination ni noma.
Tehetehetehetehe, nadhani huyo atakuwa ni yule ambaye jina lake linaishia na mboga maarufu tanzania. Ni Maha.Rage
 
Kazi kweli kweli siku tisini ni ndoto haya kitu cha kumalizwa kwa nusu saa kwanini kisingefanywa jana, asubuhi wakakaa kamati ya maridhiano na mchana watu wanakuja kukamilisha kazi. Nina wasiwasi sana kama sababu hizi zinakosa suluhu za haraka haraka huko mbele tunahitaji miujiza hawa kuweza kukubali jambo lolote kiurahisi.
Hakika mkuu. Ila imechangia pia na leo kuwa ni siku ya ijumaa. Kuna wengine walikuwa wanadai haki ya kwenda kufanya ibada mapema
 
Tehetehetehetehe, nadhani huyo atakuwa ni yule ambaye jina lake linaishia na mboga maarufu tanzania. Ni Maha.Rage

Muhishmiwa muhishmiwa muhishmiwa nakutahadhalisha tena kwa mara nyingine, kua mwangalifu ktk kutaja timu kali inayoongoza kwa maneno machafu mjengoni ila mi nakupa dondoo tu, haya kuna mwingine anajiita mchumi daraja la kwanza, ayayayayaaa huyu sasa inasemekana anazini hadi na wake za wenzake, asee jamaa mi natoka naogopa SUPER CONCENTRATED SULPHURIC ACID.
 
Wakuu semina inameahirishwa mpaka j,mosi asubuhi tuvumiliane tutapata katiba mpya.
Duh...hii nchi sijui "tumerogwa" na nani! Halafu TRA wanahangaika kuwabana wachuuzi kulipa kodi na haya ndi matumizi yake. Hawana hata huruma?
 
Kwa kweli sijaona Bunge ambalo halina mpangilio kama hili. Ni vurugu tupu kinachoendelea. Sioni utaratibu hapa na ni kama wanapoteza muda tu. Sioni kama kazi hii waliyotumwa itafikia kwa wakati ambao watanzania tulitarajia. Nina mashaka hata hiyo katiba itakayopatikana kama kweli itakuwa serious. MUNGU atusaidie!

mkuu ni vurugu tupu yaani ni balaaa
 
kama kanuni tu wamechukua muda mrefu hivyo kwa malumbano na vijembe! je likianza kupitia rasimu itakuwaje?
 
Back
Top Bottom