BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
Sijui kama hisia zako ni za kweli mkuu.
ni Kweli mkuu kwani wewe hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama hisia zako ni za kweli mkuu.
Acha kuropoka mkuu. Kuna teknolojia rahisi kujua hizo picha zimepigwq muda gani. Tofauti zetu kisiasa zisiwachanganye wqnaofuatilia bunge hili. Hili ni bunge maalum na kila mmoja ana wajibu wa kumhabarisha mwenzake pale anapopata fursa. Wadau, epukeni upotoshaji unqofanywa na huyu jamaa. Ana malengo yake kisiasa. Sisi tunachapa kazi, wao ni majungu tuMkuu nawe unaingizwa mkenge na hawa jamaa kukuambia wako Bungeni kuripoti? Hawa wako kama kawaida yao Lumumba na TV iko pembeni wanadanganya watu hapa. Hizo picha za eti bunge kabla ya robo saa sijui nini ni utapeli tuu. Ni za maktaba. Bado robo saa hata watumishi ndani ya bunge wasionekane kugawa makabrasha? Hawa wapo hapa;
View attachment 143286
Sent from my iPad using JamiiForums
Mkuu nawe unaingizwa mkenge na hawa jamaa kukuambia wako Bungeni kuripoti? Hawa wako kama kawaida yao Lumumba na TV iko pembeni wanadanganya watu hapa. Hizo picha za eti bunge kabla ya robo saa sijui nini ni utapeli tuu. Ni za maktaba. Bado robo saa hata watumishi ndani ya bunge wasionekane kugawa makabrasha? Hawa wapo hapa;
View attachment 143286
Sent from my iPad using JamiiForums[/QUOTE Chabruma kwanini umenidanganya? Nimekukosea nini Mpwa? hebu soma kilichoandikwa hapo juu
Sana tu mkuu. Ila kwa vile kazi iliyobqki ni ndogo, ni wazi kuwa kanuni zote zitapitishwa leo na kesho itakuwa ni uchaguzi wa Mwenyekiti tu
Mkuu Elli, usitekwe na majungu hayo ya watu waliofilisikaMkuu nawe unaingizwa mkenge na hawa jamaa kukuambia wako Bungeni kuripoti? Hawa wako kama kawaida yao Lumumba na TV iko pembeni wanadanganya watu hapa. Hizo picha za eti bunge kabla ya robo saa sijui nini ni utapeli tuu. Ni za maktaba. Bado robo saa hata watumishi ndani ya bunge wasionekane kugawa makabrasha? Hawa wapo hapa;
View attachment 143286
Sent from my iPad using JamiiForums[/QUOTE Chabruma kwanini umenidanganya? Nimekukosea nini Mpwa? hebu soma kilichoandikwa hapo juu
Mwenyekiti aliingia bungeni na kwenda kwenye chumba cha mashauliano siyo ukumbi wa bunge sasa anaketi kwenye kiti chake tayari kuanza kikao chetu twende pamoja sasa.Kati ya wewe na Chabruma nani ambaye anatupa habari za ukweli? Wewe unasema mnasubiri mwenyekiti aingie bungeni, wakati mwenzi anasema mwenyekiti aliingia saa 3 na dakika 50!!! Naanza kuwa na mashaka na uwepo wenu bungeni.
Mkuu, naona kuna watu hawaelewi tofauti yamukumbi wa Bunge na kuingia BungeniMwenyekiti aliingia bungeni na kwenda kwenye chumba cha mashauliano siyo ukumbi wa bunge sasa anaketi kwenye kiti chake tayari kuanza kikao chetu twende pamoja sasa.
Acha kuropoka mkuu. Kuna teknolojia rahisi kujua hizo picha zimepigwq muda gani. Tofauti zetu kisiasa zisiwachanganye wqnaofuatilia bunge hili. Hili ni bunge maalum na kila mmoja ana wajibu wa kumhabarisha mwenzake pale anapopata fursa. Wadau, epukeni upotoshaji unqofanywa na huyu jamaa. Ana malengo yake kisiasa. Sisi tunachapa kazi, wao ni majungu tu
Mgonjwa wewe katibiwe kwanza usiseme usiyojua.Sio vizuri ku take advantage ya hamu ya watu kujua kinachojiri kwenye Bunge lao kwa kuwadanganya. Huo uadilifu wenu wa kusema ukweli umeanza lini? Wewe na huyo Simiyu Yetu kaeni kwenye Tv mkitaka kuripoti au kuacha shauri yenu, bado watu watapata habari za Bunge from reliable sources.
Sent from my iPad using JamiiForums