Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

Kizuri ni kwamba jana kuna mjumbe alimba bunge liwe linaanza kwa dua kama lile la Jamuhuri. Nafikiri alikuwa na pointi nzuri sana baada ya kuhisi pepo mchafu anawasumbua baadhi ya wajumbe.

Nimatumaini yangu leo mambo yatakuwa barabaraa.
 
Mbona hiyo idadi imeshatimia ila mwenyekiti ndo aonekani?


Mkuu, kama nilivyosema kuwa Mwenyekiti Kificho amefika dakika 10 kabla ya muda kamili yaani nimemuonamyupo ukumbini saa 3.50 asubuhi. Yupo ukumbini anaendelea ksalimiana na wabunge ila bado hajakaa kwenye kiti chake
 
Nakusudia kuna wajumbe wabunge mabomu ,hawana uchangiaji wowote ,wapo hapo kama furniture za ukumbi ,wakingojea kuburuzwa tu na waccm ,wanafurahia posho ile mbaya utawasikia wakigonga meza na wengine kupiga vigelegele kama wameelewa kwa kina kumbe hamna kitu,wengi wa wabunge hawa wamepitishwa au tuseme wamepelekwa kubackup hoja za CCM na huku ni kwa waTanzania kutungiwa katiba ileile yenye utashi wa chama kimoja.

Jinga kubwa hatari kuwepo karibu na jamii...Subiri watu waje
 
Leo mjadala bungeni unarushwa na kituo kipi cha televisheni? Star? Tbccm? Itv?
 
Hadi sasa kikao hakijaanza wakuu.
 
Wadau nasikitika sana jinsi kodi za wananchi masikini zinavyopekecha na bunge hili tumekuwa tukiambia bunge litaanza saa 4 wanaanza saa 5 wakisema saa 11 kamili itakuwa 11:30 huku ni kuzarau kodi zetu isitoshe bado kwa maoni yangu wanalala sana si sahihi kuanza kazi saa 4 waanze kazi saa 3 asubuhi ni mtazamo wangu tu!
 
Punde kikao kitaanza wakuu leo mungu akijalia zoezi litakwisha hatimaye hatua zingine zifuate.
 
Bunge bado halijaanza hadi muda huu. Mtakumbuka kuwa kwa siku ya leo kikao kinaisha saa 6 kamili mchana. Hii ni kusema kuwa wajumbe watakaa ukumbini humu kwa muda wa saa moja tu
 
Bunge bado halijaanza hadi muda huu. Mtakumbuka kuwa kwa siku ya leo kikao kinaisha saa 6 kamili mchana. Hii ni kusema kuwa wajumbe watakaa ukumbini humu kwa muda wa saa moja tu

Watakaa kwa saa 1 kisha waseme muda hautoshi kisha bunge litaahirishwa hadi jion.
 
Mpaka sasa tunamsubiri mwenyekiti aingie ukumbini ili kikao kianze.
Kati ya wewe na Chabruma nani ambaye anatupa habari za ukweli? Wewe unasema mnasubiri mwenyekiti aingie bungeni, wakati mwenzi anasema mwenyekiti aliingia saa 3 na dakika 50!!! Naanza kuwa na mashaka na uwepo wenu bungeni.
 
Wabunge hawa kama homa ya vipindi. Muda mwingine wanatulia,wakaamua kuleta usenge,wanaleta haswa
 
Kwa sasa Mwenyekti ambaye tayari yupo ndani ya ukumbi anateta jambo na baadhi ya viongozi wa makundi ya bunge hili. Yupo Mbowe, Lipumba, Cheyo, viongozi wa dini, Mbatia na wengine. Bado sijajua wanajadiliana nini. Ila stay tuned. Tutawajuza kila kitu kupitia JF
 
Mpaka sasa saa 5.05 kikao bado hakijaanza.
 
Ila ushabiki wenu wa kipuuzi muache kama mmeamua kuripoti kwa ajili ya wote iwe hivyo, sawa?

Mkuu nawe unaingizwa mkenge na hawa jamaa kukuambia wako Bungeni kuripoti? Hawa wako kama kawaida yao Lumumba na TV iko pembeni wanadanganya watu hapa. Hizo picha za eti bunge kabla ya robo saa sijui nini ni utapeli tuu. Ni za maktaba. Bado robo saa hata watumishi ndani ya bunge wasionekane kugawa makabrasha? Hawa wapo hapa;
ImageUploadedByJamiiForums1394179657.312746.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Naam barabara kabisa ndugu wakatwa kodi wenzangu sasa bunge liko hewani kupitia Star TV, tuwemo. Wale maripota wetu endeleeni kutuhabarisha zaidi.

cc Chabruma
 
Last edited by a moderator:
Watakaa kwa saa 1 kisha waseme muda hautoshi kisha bunge litaahirishwa hadi jion.
Sana tu mkuu. Ila kwa vile kazi iliyobqki ni ndogo, ni wazi kuwa kanuni zote zitapitishwa leo na kesho itakuwa ni uchaguzi wa Mwenyekiti tu
 
Back
Top Bottom