Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na walaaniwe sana
Kabisa aisee yaone yanahairisha kikao wakati yamekea nusu saa tu, yanasingizia swala,
Wakti hata matendo yao hayana Mungu hata kidogo
kabisa aisee yaone yanahairisha kikao wakati yamekea nusu saa tu, yanasingizia swala,
wakti hata matendo yao hayana mungu hata kidogo
Mkuu, ni nani hao? Au ni Sendeka na Ummy Mwalimu? Umemsahau pia na SerukambaLeo sijawaona wale watu wawili wanaobadilishana jinsia wakati wa kuchangia hoja. Akitwajwa yule wa kike, anasimama wa kiume, hali kadhalika akitajwa yule wa kiume anasimama yule wa kike. Halafu wanafujo sana
Mkuu, ni nani hao? Au ni Sendeka na Ummy Mwalimu? Umemsahau pia na Serukamba
Tehetehetehetehe, nadhani huyo atakuwa ni yule ambaye jina lake linaishia na mboga maarufu tanzania. Ni Maha.RageHaloo muheshmiwa usiseme kwa sauti watakusikia, kuna mwingine ongezea hapo yeye ni mbabe sana na ni kiongozi wa club maarufu ya soka hapa nchini, aise hiyo combination ni noma.
Hakika mkuu. Ila imechangia pia na leo kuwa ni siku ya ijumaa. Kuna wengine walikuwa wanadai haki ya kwenda kufanya ibada mapemaKazi kweli kweli siku tisini ni ndoto haya kitu cha kumalizwa kwa nusu saa kwanini kisingefanywa jana, asubuhi wakakaa kamati ya maridhiano na mchana watu wanakuja kukamilisha kazi. Nina wasiwasi sana kama sababu hizi zinakosa suluhu za haraka haraka huko mbele tunahitaji miujiza hawa kuweza kukubali jambo lolote kiurahisi.
Tehetehetehetehe, nadhani huyo atakuwa ni yule ambaye jina lake linaishia na mboga maarufu tanzania. Ni Maha.Rage
Duh...hii nchi sijui "tumerogwa" na nani! Halafu TRA wanahangaika kuwabana wachuuzi kulipa kodi na haya ndi matumizi yake. Hawana hata huruma?Wakuu semina inameahirishwa mpaka j,mosi asubuhi tuvumiliane tutapata katiba mpya.
unaniunga mkono au unapingana na mawazo yangu?eti.....Kwa busara za mwenuekiti kificho na hotuba ya kikwete!!!!!
Kwa kweli sijaona Bunge ambalo halina mpangilio kama hili. Ni vurugu tupu kinachoendelea. Sioni utaratibu hapa na ni kama wanapoteza muda tu. Sioni kama kazi hii waliyotumwa itafikia kwa wakati ambao watanzania tulitarajia. Nina mashaka hata hiyo katiba itakayopatikana kama kweli itakuwa serious. MUNGU atusaidie!