IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Paulo Makonda hajasimama kushangilia kwa furaha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paulo Makonda hajasimama kushangilia kwa furaha?
Lakini hili la 6 kuwatisha wale wanaotaka kvunja Muungano je ametumwa na nani? kwanini anaonesha hisia zake? kwanini yeye ndiye anayeenda kupitisha hayo maoni au wajumbe wengine?
Siasa ni Burudani tosha kabisa!
Huo uzi wa Sitta kuzushiwa anaumwa nimeuona huku jamvin..au kunagazeti lilichapisha.?
Hapa habari ni ipi, mpaka iwe habari mpasuko??
Masanduku yako tupu majani hakuna kura iliyotangulia.M.kiti wa muda wa BMK
Hivi kufungua hii mi thread huwa mnaona sifa sana.Huoni kama kuna thread tayari inayoleta hizi habari???? Moderator unganisheni hizi thread zinatusumbua tu.Na upigaji kura ni kuweka tiki kwenye jina moja tu na upigaji kura kwa wasiojiweza watasaidiwa makaratasi sehemu walipo. Wagombea ni Hashim Rungwe vs Samweli Sitta na hiyo ni baada ya wagombea wengine wawili kutokurudisha fomu. Katika hali isiyotarajiwa Sitta na Lowasa wameshikana mikono baada ya Mh. Sitta kumaliza kuomba kura kutoka kwa wajumbe