babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
Wakuuu msijeshangaa hapo Mwanamama Pekee Dr Tereza Hovisa akachaguliwa kwa wingi wa kura na hao jamaa wa CCM, si mnajua SITA alivyowashughulikia huko nyuma????
Maadamu Hovisa hajarudisha fomu basi SITA anapita, japokuwa sina imani naye, maana hakawii kujigeuza rangi yake na kufanana na rangi za wenzie, Kumbukeni ndege wafananao huruka pamoja!!!!