Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Wakuuu msijeshangaa hapo Mwanamama Pekee Dr Tereza Hovisa akachaguliwa kwa wingi wa kura na hao jamaa wa CCM, si mnajua SITA alivyowashughulikia huko nyuma????

Maadamu Hovisa hajarudisha fomu basi SITA anapita, japokuwa sina imani naye, maana hakawii kujigeuza rangi yake na kufanana na rangi za wenzie, Kumbukeni ndege wafananao huruka pamoja!!!!
 
Sita amesema kuwa wenye nia ya kuvunja muugano atawashughulikia. Hii inaweza kumaanisha kuwa kalishwa yamini na wana ccm kuhusu serikali mbili

Haya maneno ya Sitta hakika si ya kwake na Sitta ameaminiwa sana na watu lakini hakika tutajuta kwa kuwa anaonekana wazi yale aliyolishwa na kambi yake ndio anayaonesha waziwazi kabla hata ajaanza kutumikia kiti hicho.
 
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.

Kakoswa na BUSARA katika hilo, kwani kasahau yalompata kule Unguja zama alipopeleka kijikaratasi uchwara kake...?

Aache dharau zake, akitaka dharau kazi itamshinda, mbwembwe zake aziweke kushoto.

Kwanini hakunifunza BUSARA toka kwa Mzee Pandu Ameir Kificho...?!
 
Kwa kweli hii kauli ni tata na mbaya...endapo mtu kama mtikila akipata shida yoyote bungeni....ataonekana ameshughulikiwa....

huyu pimbi tu nani kasema hataki muungano,sisi tunahitaji Tanganyika kama wenzetu
 
Hii ni kauli kali sana ambayo nimeisikia. Inawezekana kaapishwa na wana ccm kuwahughulikia wanaodai serikali 3. Inawezekana huo ndio mtazamo wake ili kupata kura zao. Nahofia ...

Na wote wenye mtazamo wa serikali tatu wana nia ya kuvunja muungano, acha wote wakumbwe na mfagio wa Mzee SITTA.
 
Namuunga Mkono Sitta Kwenye Swala La Muungano......Washughulikiwe Tuuuu...
 
Mie simshangai kwani kajenga ofisi ya spika jimboni kwake. Kinachonishangaza na Sendeka & co kupiga kura hii kwa siri tena kwa roho nyeupe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naomba kujua kama kuna uwezekano wowote wa Kificho kurudi kwenye uenyekiti hata kwa usaidizi tu.
 
Ni wazi ukimrudisha chura kwenye maji lazima ataogelea tu....ha ha ha nimekuelewa Samuel.
 
Hashimu Rungwe alivyodai anauza magari kwa style mpya ya kwenye mitandao hajui kama hakuna utapeli mkubwa wa wauza magari ni wa kwenye mitandao?
 
Maadamu Hovisa hajarudisha fomu basi SITA anapita, japokuwa sina imani naye, maana hakawii kujigeuza rangi yake na kufanana na rangi za wenzie, Kumbukeni ndege wafananao huruka pamoja!!!!

tayari amebadilika mda huu.amesema wazi ametumwa kupigania serikali 2
 
Binafsi nimependa msimamo wa huyu mzee.

Hivi Nawe unaamini kua mtu mmoja anapaswa kuwadhibit watu wengi kufuata maoni yake?
Basi zile kura za maamuzi kama za wananchi wa Cremia zisingekuepo duniani.

tragedy of the commons
 
una laana hadi uzao wako

Very very stupid wish at your age. Una hakika nina uzao?
Call your words curse, execration, jinx or any word to proove your stupidity, the fact will standout and up for proof.

Subiri utauona ushetani wa watu hawa ndo utagundua hakuna mzima kati yako na ndugu hawa wawili. Tangu lini mwizi akanishawishi leo eti niliiiba zamani tu! Hata leo atabaki mwizi tu!
 
Hivi Nawe unaamini kua mtu mmoja anapaswa kuwadhibit watu wengi kufuata maoni yake?
Basi zile kura za maamuzi kama za wananchi wa Cremia zisingekuepo duniani.

tragedy of the commons

Hii ni Tanzania na Ukraine ni Ukraine.
 
Kakoswa na BUSARA katika hilo, kwani kasahau yalompata kule Unguja zama alipopeleka kijikaratasi uchwara kake...?

Aache dharau zake, akitaka dharau kazi itamshinda, mbwembwe zake aziweke kushoto.

Kwanini hakunifunza BUSARA toka kwa Mzee Pandu Ameir Kificho...?!

Kwa msimamo aliouonyesha mapema namna hii hakika natabiri atapata shida sana huko mbeleni....na hili bunge litavunjikia mikononi mwake. Kulikuwa hakuna haja ya kuropoka mambo ya muungano kwa sasa.
 
Back
Top Bottom