Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Namuona Mwenyekiti wa Muda ameshindwa kutamka neno "FALSAFA" na kusema "SALFASA"

Kazi kwelikweli.!!!!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba ameshindwa kutamka neno hilo ila yeye akadai SALFASA na kuibua vicheko kwa wajumbe amejaribu zaidi ya mara tano bila ya mafanikio Ha ha haaaa. Amenikumbusha enzi za Masanja Mkandamizaji.
 

Niliwaambia huyu CCM hafai! Rasimu ni matakwa ya wananchi, sasa yeye atapambana na matakwa ya wananchi? CCM inaona serikali 3 zitavunja muungano, naye ni CCM, atapambana na all who are against serikali 2.
 

Mimi kura yangu nimempa SITTA , ni muwazi tu, siri ya nini?
 

Kauli zako si njema kwa minajili ya uzi huu, tafadhali jirekebishe.
 
Sitta amemchagua Mhe Bahati kuwa wakala wake wa kuhesabu kura. Makonda kaonekana kukunja uso sijui alidhani atateuliwa yeye? Yaani huyo kijana ni poyoyo kweli kweli.


Sent from my iPad using JamiiForums

Ha ha ha ha
 
Pia Lucy Owenya naye yupo ila kamera za waandishi zimemnasa akipiga miayo (ya kawaida)
 
Wale wenye nia mbaya ya kuvunja muungano watashughulikiwa, nijuavyo mimi Samuel Sita ni muumini wa Julius K Nyerere..

Angekuwa Rais wengi wa wanaopinga muungano wangekuwa ndani...

Mawazo yako kamaya kwangu mkuu, na hata mimi nakubaliana na msiamo huu.
 
Huyu siyo watu walikuwa wanamlilia.sitta ni utumbo mtupu
 
Mjumbe Amoni anashukuru uendeshaji wa shughuli hizi pia kwa ujumla anashukuru miundombinu yote kwa kuzingatia na kujali mahitaji maalum
 

Kama wewe mpaka hapo huoni kosa, samahani...nilidhani utaeleza huo msimamo wake una manufaa gani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, kumbe! Endeleaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…