Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

poa poa mkuu,, c 2naskilizia 2 ,,hatutaki sita wala nan wakileta uchwara nachukua fomu mwenye m**mae..
 
Ameshaomba kura na kujinadi kuwa ana uwezo mkubwa wa kuendesha bunge.
 
Muda wakujieleza bwana Rungwe umeisha ni dakika 3 tu! Anaulizwa swali
 
Rungwe kajitambulisha na kujipigia debe ila kasema pia yeye ni Mwafrika wa kwanza kua na duka la magari, anamalizia sera zake, sasa maswali.

Anauliza Mkumba
 
poa poa mkuu,, c 2naskilizia 2 ,,hatutaki sita wala nan wakileta uchwara nachukua fomu mwenyewe m**mae..
 
Rungwe amekatizwa maelezo yake kutokana na muda kwisha
 
Anaulizwa swali kwanini anauzoefu mkubwa wa kuuza magani na sio uzoefu wakuliendesha bunge?
 
Rungwe anaulizwa kua anahusishaje uzofu wake wa kuuza magari na uzoefu wa kuendesha biashara ya magari
 
Saidi Mkumba anamuuliza Rungwe anahusisha vipi Biashara ya magari na kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum
 
Rungwe anajibu kua uzoefu ni uzoefu na ana uhakika anaweza
 
Mkumba anamtandika swali kuna uhusiano gani kati ya kuendesha duka la magari na uenyekiti wa bunge maalum
 
Rungwe anajibu anauzoefu wakuendesha kesi na hajawahi kushindwa kesi!
 
HASHIM RUNGWE anasema kichwa chake hakiwezi kuendesha Bunge!
 
Back
Top Bottom