Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Wagombea waliotimiza masharti ni Hashim Rungwe na Samwel 6 na wataombwa kuja mbele mmoja mmoja kujieleza na kuomba kura kutoka kwa wajumbe
 
Huvisa hata kujaza fomu ameshindwa....ndo maana kipindi chake hata mvua zilipungua
 
Kina mama onyesheni mshikamano wenu!mpeni mama mwenzenu kura
 
Wagombea watajieleza mbele ya wajumbe kuomba kura kisha kura za siri zitapigwa kumchagua mwenyekiti
 
Waliochukua fomu ni wanne ila waliotimiza masharti ni wawili tu Mh Samwel Sita na Hashim Rungwe
 
wagombea waliotimiza masharti ni wawili tu HASHIM RUNGWE na SAMWEL SITTA
 
Bungeni kuna kelele sijui wajumbe wametoka kutoa Lock?
 
Katibu ametaja majina ya waliochukua fomu ambao ni Rungwe, Sitta, Theresia Huvisa na John Chipaka. Hata hivyo amesema kuwa wagombea waliotimiza vigezo ni Hashim Rungwe na John Sitta. Anasema wagombea hawa wawili watajieleza mbele ya wabunge, wataulizwa maswali na hatimaye kupigiwa kura ya siri
 
mwenyekiti anawaomba wajumbe wajitahidi kutokuzomea!
 
Kificho ametoa utaratibu hapa kua wagombea waje sasa kujieleza na karuhusu kuulizwa maswali hadi ma3 pia katahadharisha kuvumiliana katika kuwasikiliza wagombea
 
Dogo Janja Nassari kaomba kitu kutoka kwa mwenyekiti anaomba ufafanuzi
 
Samwel Sitta na Hashim Rungwe wameteuliwa rasmi kuwa wagombea wa uenyekiti wa Bunge Maalum na hivi sasa utaratibu wa wagombea kujieleza ndio utaanza.
 
Nasari anaomba ufafanuzi kama kutakuwa na kura ya wazi au siri,teh,teh,mwenye akili jaza
 
Nasari kuwachokonoa ccm makusudi kauliza kura ni ya wazi au siri?
 
Mh Hashim Rungwe anaanza kujieleza na Samwel Sita ametolewa nje
 
Samweli Sitta ametakiwa kusubiri nje na ataitwa na watendaji, Joshua Nathari anaomba kutoa ufafanuzi ila kificho anamuhoji kua anaomba ufafanuzi chini ya kifungu kipi cha kanuni.

Kisha Joshua anauliza aina ya kura itayotumika, anajibiwa ni ya siri.

Sasa Hashimu amekaribishwa kujieleza.
 
Back
Top Bottom