Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Mkuu Chabruma hizi tetesi za 6 kuugua ghafla umezipata? Hivi leo wagombea watajinadi ama ni kupiga kura za siri mtindo mmoja
 
kuna sehemu inabidi tuangalie quality badala ya quantity
 
Makamanda mlioko huko dodoma tafadhali tujuzeni mambo yanavyo endelea hapo mjengoni.
Waheshimiwa gani walochukua fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa kudum wa bunge maalum la katiba?
 
Eti sitta vs hashim rungwe huu ni uonevu wa hali ya juu tyson vs matula
 


....
Kama kawaida natarajia kuungwa mkono kutoka kwa wadau mbalimbali hususan Skype, Simiyu Yetu, MaishaPesa, MKUU WA KAYA, Deo Corleone, Pasco na wengi ambao sijawataja lakini wamekuwa pamoja nasi tangu tuanze utaratibu huu.

Stay Connected

Mkuu, pamoja sana, nilikua ktk mikikimikiki ya kuwawezesha wategemezi wangu waweze kujikimu, sasa nimerejea nipo hewani.

Kwa niaba ya wote watakaoshiriki kuleta updates, karibuni sana wana jf, ni mwana jf mwenzenu Skype, tuwemo.
 
Last edited by a moderator:
Arusha umeme hakuna saa kumi inakaribia,tanesco fanyeni mchakato nione kampeni za uenyekiti
 
Samahani mkuu. Nilikutaja kwa ujumla wake. Ila kuna wengine nimewataja si wana Lumumba. Katika mjadala huu wa Katiba Mpya tumewekeana makubaliano kuwa tofauti zetu za kisiasa tuziweke pembeni
Magambas at war (Sitta & co)wanafiki Vs (Lowasa & co) mafisadi
 
Wabunge wa bunge la katiba mpya ndio wanaingia ukumbini! More updates coming!
 
Wadau, hali ya ukumbi inaanza kupendeza zikiwa zimebaki dakika tatu kabla ya saa 10 jioni
 
Mwenyekiti Kificho akiingia Ukumbini
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    599.2 KB · Views: 172
Mwenyekiti wa muda Ameir Kificho naye kashaingia!
 
Wadau, tofauti na siku zilizopita, Leo dua ya kuliombea Bunge na Jamhuri imesomwa na Mwenyekiti mwenyewe. Hii ni kuashiria kuwa sasa wabunge wapo kazini
 
Back
Top Bottom