Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Naona bungeni kuna kelele kama kawaida na mwenyekiti wa muda anawaomba waheshimiwa kuchukua nafasi zao
 
Dah! Mkuu, hakika ni swali gumu sana hilo kwangu. Labda wadau wengine watasaidia kulijibu













----------

Hashim Rungwe Spunda ni Wakili wa Mahakama Kuu, na aligombea urais kupitia NCCR-Mageuzi, 2010.

T. Huviza kawahi kuwa Waziri wa Mazingira kabla hajatimuliwa kwa tuhuma za kuwa ''mzigo.''
 
Shughuli inayofuata ni uchaguzi wa mwenyekiti, na sasa anakaribishwa msimamizi wa uchaguzi kutoa maelezo.
 
Mwenyekiti anaomba msimamzi wa uchaguzi ndugu Thomas Kashilila kutoa maelezo
 
Uchaguzi wa mwenyekiti wa bunge maalum!!

Jaji kificho anamkaribisha msimamizi wa uchaguzi kutoa maelekezo kuhusu uchaguzi!
 
Swadakta....nafuatilia kwa karibu mtanange huu
 
Wabunge wa bunge la katiba mpya ndio wanaingia ukumbini! More updates coming!

Star Tv pia live! Ilibidi nichomoke mapema saa9 kazini hadi home, ili nisihadithiwe nione kwa macho yangu tukio hilo! Pamoja na foleni za Dar, saa 15:59 naingia home Tabata, na kukuta live TBC1 na Star Tv! Twende pamoja
 
Katibu ametoa tqmko la uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum. Mwenyekiti Kificho anamkaribisha Msimamizi wa uchaguzi, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoa taarifa ya kuchukua fomu, kurejesha na zoezi zima la uchaguzi
 
Makofi mengi sana yamepigwa jina la SITTA lilipotajwa
 
Waliotimiza masharti wawili tu!
 
Msimamizi anasema waliojitokeza kuchukua fomu ni wanne ila waliotimiza masharti ni Hashimu Rungwe na Samweli Sita
 
Back
Top Bottom