Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Baada ya zoezi la wagombea kujieleza, mheshimiwa sita aliporudi kuketi mh lowasa kamfuata na kumpa mkono, sasa nani alisema hawaelewaniiiiiiiiiii????
 
Lowasa amemkubali samwel sitta baada ya kampeni ya uwenyekiti wa bunge maalum la katiba
 
duuh CV ya Sita noma!anajiita chura.ila kanikera kwenye kiinua mgongo

Huu ndio ufisadi halisi na sikutegemea mtu kama Sitta alete hoja ya kuwapa wabunge hawa kiinu mgongo. Hii haikubaliki kabisa.
 
Wewe kama Mwenyekiti endapo tutashindwa kuwafikiana wakati mjadala wa bunge unaendelea wewe kama Mwenyekiti utafanya nini? jibu: Kwanza hilo la kutoafikiana mwenyezi Mungu aliepushie mbali, ameahidi ku deal na wale wanaotaka muungano uvunjike.

MSIWAAMINI WANASIASA WAWE WA CHAMA TAWALA AU WA UPINZANI-ZITTO KABWE



ha ha ha ha...hii ya zitto nimeipenda hii. aliisemea wapi mkuu?
 
Swali....anaweza kuongoza Bunge hili la kihistoria na kupata Katiba nzuri?....Jibu: NiNadhani muuliza swali kathibitisha kuwa mimi ni muumini wa viwango.....(Kuna wajumbe wanawasha mic na kusababisha vurugu)......swali: Mgombea: Bunge lina Makundi; kanuni ya 37, 38: kama Bunge litashindwa kuafikiana, atafanya nini? Jibu: Mungu utuepushe; ya nini tufike huko! Kwa msaada wa M. Mungu.....na huku kuna vichwa vilivyoteuliwa na Rais....Kuna wale wanataka kuvunja Muungano na wao nitaashughulika nao kikamilifu....Hawa waajua msimamo wangu kuhusu Muungano, na wamenizushia ugonjwa lakini nitapambana nao hivyo hivo.....makofi hapa....Sitta anaakaa

--------------------------------------------------------------------------------------------------------
 
Masanduku ya kura yameletwa kuonyeshwa kua hakuna kitu ndani yake na yamewekwa juu ya meza.
 
Nimeipenda hii,sitta na lowassa wamepeana mikono!ni baada ya sita kurudi kukaa ktk kiti chake!
 
Baada ya kujinadi bungeni kwa kuomba kura za uenyekiti wa bunge maalumu wa katiba, Mh. Samwel Sita alipomaliza kuulizwa maswali na kurudi kukaa, Mh. Lowassa alisimama na kushikana mikono na Mh. Sita.\

Kitendo hiki kimeibua shangwe na furaha ndani ya ukumbi wa bunge.
 
Siasa ni unafiki....kama uliona fresh kama wote walikuwa wanategeana hivi
 
... kati ya HASHIM RUNGWE na
SAMWEL SITTA "JINSIA YA KIUME" tutapata Mwenyekiti.
Kwahiyo Makamu atakuwa mwanamke.
"tunaanza kupiga kura"
 
Back
Top Bottom