Mbona hawakupiga kura ya wazi kama wale jamaa walivyokuwa wanaongea udenda unawatoka? masisiemu mtakufa safari hii
Hii ni kura ya kumchagua mtu siyo kura ya kupitisha vifungu, tofautisha hilo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hawakupiga kura ya wazi kama wale jamaa walivyokuwa wanaongea udenda unawatoka? masisiemu mtakufa safari hii
Kama wewe mpaka hapo huoni kosa, samahani...nilidhani utaeleza huo msimamo wake una manufaa gani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, kumbe! Endeleaaa...
Huyu mlemavu kumbe mlemavu sehemu zote, AMON MPANJU.
okay kumbe haijapigwa kura ya wazi?
Tunajua wanaotaka muungano uvunjike wengi ni waarabu, bado wanaitamani zanzibar... LAKINI SISI WAAFRICA WEUSI HATUTAKUBALI... MWARABU ARUDI TENA KULETA UKOLONI... Tuko tayari kwa mapambano... Wajaribu waone... Tutawashughulikia ipasavyo.
Imepigwa kura ya siri na imeitikiwa vyema wakati siku zote watu walikuwa wakiongea ukiwa karibu yake utadhani umenyeshewa mvua, kumbe ni usanii.! kura siku zote ni ndani ya box. Shame viraza
Wakuuu msijeshangaa hapo Mwanamama Pekee Dr Tereza Hovisa akachaguliwa kwa wingi wa kura na hao jamaa wa CCM, si mnajua SITA alivyowashughulikia huko nyuma????
Wadau hivi Lolensia Bukwimba ameolewa? Daaah ananikosha sanaaaaa.
daah,msalie mtume kaka
kasome vizuri rasimu ya pili.!