Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Mbona hawakupiga kura ya wazi kama wale jamaa walivyokuwa wanaongea udenda unawatoka? masisiemu mtakufa safari hii

Hii ni kura ya kumchagua mtu siyo kura ya kupitisha vifungu, tofautisha hilo mkuu.
 
Mjumbe Amoni amekaa na kificho anamshukuru na kumpongeza kwa alichokisema
 
Sitta una kura yako kwangu......hii ndo demokrasia,huyo Rungwe aendelee kuuza Toyo
 
Huyu mlemavu kumbe mlemavu sehemu zote, AMON MPANJU.
 
Tunajua wanaotaka muungano uvunjike wengi ni waarabu, bado wanaitamani zanzibar... LAKINI SISI WAAFRICA WEUSI HATUTAKUBALI... MWARABU ARUDI TENA KULETA UKOLONI... Tuko tayari kwa mapambano... Wajaribu waone... Tutawashughulikia ipasavyo.
 
Kama wewe mpaka hapo huoni kosa, samahani...nilidhani utaeleza huo msimamo wake una manufaa gani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, kumbe! Endeleaaa...

Nitumie maneno ya RUNGWE, acheni kuweweseka na Kauli ya SITTA.
 
okay kumbe haijapigwa kura ya wazi?

Imepigwa kura ya siri na imeitikiwa vyema wakati siku zote watu walikuwa wakiongea ukiwa karibu yake utadhani umenyeshewa mvua, kumbe ni usanii.! kura siku zote ni ndani ya box. Shame viraza
 
Tunajua wanaotaka muungano uvunjike wengi ni waarabu, bado wanaitamani zanzibar... LAKINI SISI WAAFRICA WEUSI HATUTAKUBALI... MWARABU ARUDI TENA KULETA UKOLONI... Tuko tayari kwa mapambano... Wajaribu waone... Tutawashughulikia ipasavyo.

Hakuna cha serikali tatu wala muungano wa Mkataba. Jibu la Muungano wa kweli ni serikali mbili au moja.
 
Imepigwa kura ya siri na imeitikiwa vyema wakati siku zote watu walikuwa wakiongea ukiwa karibu yake utadhani umenyeshewa mvua, kumbe ni usanii.! kura siku zote ni ndani ya box. Shame viraza

Najua wewe hujui hata unachokisema. Kura ya kupitisha vifungu tangu lini ikawa ya siri?
 
Back
Top Bottom