Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Acha awape darasa kina Ndugai jinsi ya kuendesha bunge, hongera Six mzee wa viwango
 
mtangaza matokeo amekiri kuwa kawimbo ka- tunaimani n .....LOWASA....oya, oya, oya...... kweli........ kweli........kweli.........
KAZURI KWELI KWELI.
 
Hashim Rungwe amekubali matokeo na amempongeza Sitta kwa ushindi alioupata
 
Kipenzi cha watanzania, the problem he is in the wrong Party
 
Sitta anaendelea kushukuru, sasa anashukuru chama chake
 
Sita anasema asiyependa mafanikio yake anaweza akatokea Dirishani kama akipenda (Nadhani anamsema ATM ya makanisa na misikiti)
 
Matokeo:
Sitta kura 487
Rungwe kura 69

Aise kumbe ule msemo wa ..... nikweli. Nzi alibusu kinyesi nakusema "kibaya kina mwenzi" Nimeshangaa sana Rungwe kupata kura nyingi namna hii. Sikutarajia
 
Anawashukuru wengi na hasa CCM kwa kumpendekeza. Anawananga pia wale waliokuwa wanavumisha kuwa kuna uhasama baina yake na Chenge
 
Tatizo 6 ana tambo nyingi mpaka anamponda Bw. Rungwe.
 
Kundi la lowasa ni dogo sana limeshindwa kufikisha kura 70?
Wamebaki wakimwimbia lowasa wao
 
Sitta anatoa historia yake na Chenge kua aliwahi kumpendekeza kwa Rais kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali
 
Porojo za Sitta naanza kumshusha hadhi yake anaanza kuleta uvyama hapa
 
Back
Top Bottom