miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
jamii yote inahusika aifungamani na upande wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kurudia matusi ya mtu wa kupuuzwa, he acts like a robot.
Kaongea vizuri lkn mwisho kajionyesha kabisa hayupo bungeni kuwakilisha walemavu bali yupo kuiwqkilisha ccm sasa kalenga na chalinze kwa uwakiloshi wake vinahusika na nn
Kwa ccm kuelezwa ukweli ni matusi,,, hilo linajulikana ,ccm hawapendi ukweli na ndio mana hata wale walio ndani ya chama wakiwa wakweli wanatengwa mf, DEO FILIKUNJOMBE. anaonekana kirusi ndani ya chama sababu ya kusimamia ukweli.
Ukweli gani unaoongea zaidi ya kuleta uchonganishihumu? Hakika umeniudhi kweli. Itoshe kubaguana kisiasa na si kimaumbile.hata kama unachongea kwa moderators ukweli ndo huo.
Hebu msikie hoja zake huyo mpanju.
Ina maana na yeye anashindwa kuelewa hesebu ndogo kama hii hapa:
x + y = xy
badala ya kusema hii
x + y = xy + y.
Where as
x - tanganyika
y- zanzibar
xy- Tanzania
Acha siasa kwenye mijadala mizito ya kitaifa utakua kama mjumbe wa bunge anayefananisha mambo ya kalenga, chalinze na katiba mpya.
Kwani mtu akiwa mlemavu hawezi kuwa mfuasi wa chama cha siasa? Mbona mbunge wa Lindi mjini ni mbunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CUF?huyo ndo mwakilishi wa ccm aliyevaa koti la walemavu.
Ni wa kupuuzwa tu kama tunavyompuuza yeye mwenyewe.
Sasa mambo ya kalenga na chalinze yanaingiaje kwenye bunge la katiba!
Mbona umeferii? Hv anachofanya lisu ni mipasho au hoja, Hv nani asiyeamini kuwa Tuna Muungano? mtu ana simama na kusema Muungano siyo sahihii. Watu milioni 45 wanaamini halafu yeye haamini , kisa Mwanasheria.
Huyu kipofu ameamua kapisa kuweka hazarani mahaba ya ccm.
Amemaliza kwa kusema salamu za Kalenga na Chalinze ziwafikie..........
Na mimi namwambia Mungu hufanya jambo kwa makusudi/habahatishi, hivyo alimjua kabla ya kumuumba.
Ya mchaga sasa mengine endelea
Hivi. Mbona lipumba na.mtikila siwasikii
sijui Mpanju alikuwa na maana gani akisema unaweza jiona umzima kwa muonekano wa nje lakini kumbe unakilema kisichoonekana