Kapo Jr
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 996
- 280
Akichangia sura ya kwanza na ya sita,membe ambae pia ni waziri wa mambo ya nje amesema anaunga hoja serikali mbili sera ya ccm,huku akitabiri machafuko endapo serikali tatu itapitishwa. pia kasema watakuja kulaaniwa wajumbe wa tume ya warioba na wajumbe wa bunge la katiba,membe anabashiri machafuko pia anawabeza wanaowakosoa waasisi kana kwamba hawastahili kukosolewa. kwa mtazamo huu napata shaka na diplomasia yake nje nchi wakati hapa nyumbani anatetea chama badala ya wananchi