Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
Ukweli gani unaoongea zaidi ya kuleta uchonganishihumu? Hakika umeniudhi kweli. Itoshe kubaguana kisiasa na si kimaumbile.
Mawazo yako na akili yako haina tofauti na hawa watu.Mjumbe wa bunge malumu la katiba mpanju ameendelea kutafuta huruma kwa kutumia ulemavu wake, baadhi ya wajumbe walisema yafuatayo kuhusu huruma ya mpanju anayotafu kwenye jamii, huwezi ukawa mjinga kama mpanju halafa ukatafuta huruma kwenye jamii kwa kisingizio cha ulemavu
Mbona umeferii? Hv anachofanya lisu ni mipasho au hoja, Hv nani asiyeamini kuwa Tuna Muungano? mtu ana simama na kusema Muungano siyo sahihii. Watu milioni 45 wanaamini halafu yeye haamini , kisa Mwanasheria.
Unajuaje kuwa kakatiwa unatabiri mambo bila kuwa na uhakika.Inayokuja ni zamu ya Jussa lakini matangazo yameanza matatizo ya kukatikakatika na yalikuwa hayana tatizo lolote
naunga mkono hoja kwa 100%.
Na naomba Mungu amzidishie ulemavu mwingine kama huo.
Hasa kwenye kizazi na nyeti zake, hatutaki watu wenye kulaaniwa kama yeye.
Jusa please usimjibu mlemavu
Walemavu wanadeka sana aisee,wanatumia vibaya ulemavu wao,kwamba wao wasichalenjiwe,hawa wametumwa,inajulikana ivo
Mmmhhh mkuu kwa hili hapana
Usiseme hivyo
Jussa: mtu mwenye maarifa hujadili hoja si watu
Kuna walemavu wanautumia ulemavu wao kama fursa au kipaji flani hivi, Mpanju ni mmoja wapo.