Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Ukweli gani unaoongea zaidi ya kuleta uchonganishihumu? Hakika umeniudhi kweli. Itoshe kubaguana kisiasa na si kimaumbile.

Huyu Mpanju anauzi mkuu, na anasababisha walemavu kudharauliwa kwasababu yake.
 
Mjumbe wa bunge malumu la katiba mpanju ameendelea kutafuta huruma kwa kutumia ulemavu wake, baadhi ya wajumbe walisema yafuatayo kuhusu huruma ya mpanju anayotafu kwenye jamii, huwezi ukawa mjinga kama mpanju halafa ukatafuta huruma kwenye jamii kwa kisingizio cha ulemavu
Mawazo yako na akili yako haina tofauti na hawa watu.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    88.7 KB · Views: 141
Inayokuja ni zamu ya Jussa lakini matangazo yameanza matatizo ya kukatikakatika na yalikuwa hayana tatizo lolote
 
Jusa sasa anaongea.
Naomba tumsikilize kwa makini wadau.
 
Mbona umeferii? Hv anachofanya lisu ni mipasho au hoja, Hv nani asiyeamini kuwa Tuna Muungano? mtu ana simama na kusema Muungano siyo sahihii. Watu milioni 45 wanaamini halafu yeye haamini , kisa Mwanasheria.

Hao milion 45 ndio walio pendekeza serikali tatu,sasa utuambie hayo maoni ya serikali mbili ni maoni ya nani???jibu kwanza hilo.
 
Huyu jamaa anawasilishe mawazo ya shirikisho la vyama vya walemavu sio siasa za CCM na CHADEMA
 
Walemavu wanadeka sana aisee,wanatumia vibaya ulemavu wao,kwamba wao wasichalenjiwe,hawa wametumwa,inajulikana ivo

Kuna walemavu wanautumia ulemavu wao kama fursa au kipaji flani hivi, Mpanju ni mmoja wapo.
 
Jussa: mtu mwenye maarifa hujadili hoja si watu
 
Jusa anasema hawezi kujibu matusi kwani akili ndogo ndio inayojadili watu badala ya hoja.
 
Ni wa jamii nzima kama jina linavyojitambulisha"JamiiForums".
 
Jussa: nasimamia matakwa ya Znz .. tunataka mamlaka kamili
 
Back
Top Bottom