Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Nimemsikia mama Kabaka akisema kuwa jinsia ni tunu ya Taifa. Hoja yake kaijenga kwa kuwauliza wanaume kwamba wangejisikiaje kama wangekuwepo wanaume peke yao ndani ya bunge. Akaendelea kuwaulizia wangefurahi kama wangekuwa peke yao. Mmmmmmhh mimi nimebaki macho pima
 
Anakuja Sixtus Mapunda, anaanza kwa kusema kua hataweza kuikana kweli, anaendelea kusema kua ukizoea kusema uongo huwezi kusema kweli.

Anaendelea kupangua hoja za Tundu Lissu kuhusu kutokuwepo kwa hati ya muungano, kuhusu kukutana kwa Baraza la Mapinduzi.
 
Mapunda:ukizoea kusema uongo utaendelea kuishi kwa uongo
 
Nimemsikia mama Kabaka akisema kuwa jinsia ni tunu ya Taifa. Hoja yake kaijenga kwa kuwauliza wanaume kwamba wangejisikiaje kama wangekuwepo wanaume peke yao ndani ya bunge. Akaendelea kuwaulizia wangefurahi kama wangekuwa peke yao. Mmmmmmhh mimi nimebaki macho pima

Mkuu tunaangalia mabunge mawili tofauti?hayo maneno kasema mh.chilolo na si mama kabaka
 
Naona mods wamefanya utaratibu wa jana wa kuweka dondoo zote kwenye bandiko la kwanza, nawapongeza na nawashauri wanaotaka kufuatilia mtiririko mzima wadumu na bandiko hilo. Sisi tutaendelea kuweka nyongeza za yanayojiri. Heko moderators wote.
 
Sasa anazungumza mapunda anahoji uhalali wa takwimu za tume ambazo anaona hazikuwa na uhalali kutokana na namna zilivyokusanywa hasa kwa kuacha maoni ya mabaraza ya kata na wilaya.
 
Sixtus Mapunda anaendelea kuwachanachana hawa makanjanja wanaolilia muungano wa serikali tatu
 
Sixtus Mapunda anasema;
Uongo ulioongelewa wiki nzima umeshindwa. Wale waongo wasiendelee kusema uongo. Kuna watu walisema hakukuwahi kuwa na hati ya muungano na kuwakashfu wasisi wetu. 25/4 baraza la wawakilishi lilikaa zanzibar na kambona alihudhulia na aliporudi alipokelewa kalimjee akasema yaliyo tokea.

Sisi tunawaheshimu tume ya katiba lakini tunawauliza maswali, aina ya sample waliyo itumia na hitimisho havitaji. mabaraza ya katiba yaliachwa kwanini?

Watu makini lazima atabiri mambo yajayo ndo maana tunatabiri serikali tatu haiwezekani.

Tunu za taifa zienziwe
 
waheshimiwa, naomba mnijuze:

Mbona kila ninapojaribu kusikiliza mjadala wa bunge maalum.....

".......sisikii hoja za maana zinazojengwa katika ibara za rasimu ya katiba....."???

au,

"....ni mimi tu ndiye ninayesikia kuhusu......serikali mbili versus serikali tatu......""???

Kwanini iko hivyo.....................???

Au, rasimu yote ya katiba imejaa habari za serikali mbili au tatu tuuuuuuu??

Anyway, tungeni katiba yenu na sisi tunaotafsiri hiyo katiba na sheria mbalimbali tutatumia kadri itakavyowezekana.
 
Sasa anazungumza mapunda anahoji uhalali wa takwimu za tume ambazo anaona hazikuwa na uhalali kutokana na namna zilivyokusanywa hasa kwa kuacha maoni ya mabaraza ya kata na wilaya.
Mkuu, hakika hili suala la takwimu limewaponza sana akina Warioba
 
Naona mods wamefanya utaratibu wa jana wa kuweka dondoo zote kwenye bandiko la kwanza, nawapongeza na nawashauri wanaotaka kufuatilia mtiririko mzima wadumu na bandiko hilo. Sisi tutaendelea kuweka nyongeza za yanayojiri. Heko moderators wote.
Hakika mkuu hata mimi nimeipenda sana walichofanya jf kwa kuweka hizi dondoo.
 
waheshimiwa, naomba mnijuze:

Mbona kila ninapojaribu kusikiliza mjadala wa bunge maalum.....

".......sisikii hoja za maana zinazojengwa katika ibara za rasimu ya katiba....."???

au,

"....ni mimi tu ndiye ninayesikia kuhusu......serikali mbili versus serikali tatu......""???

Kwanini iko hivyo.....................???

Au, rasimu yote ya katiba imejaa habari za serikali mbili au tatu tuuuuuuu??

Anyway, tungeni katiba yenu na sisi tunaotafsiri hiyo katiba na sheria mbalimbali tutatumia kadri itakavyowezekana.
Ufafanuzi kamili ulishatolewa wakati wa kuwasilisha taarifa za kamati.kwa sasa ni kuchanana kwa kwenda mbele
 
Mkuu, hakika hili suala la takwimu limewaponza sana akina Warioba
Sure mkuu kwa kiasi kikubwa tume ya warioba imedanganya sana kwenye takwimu mimi inanipashida sana kwa nini walifanya hivyo pengine wanayo ajenda yao ambayo hawajaweka wazi.
 
Ali Omar Makame: anazungumzia umhimu wa kuweka haki za walemavu katika katiba
 
Ali Omari Makame anasema;
Hii katiba tuliyo nayo imerekebishwa mara 11 lakini mambo ya ulemavu hayamo. walemavu tunataka elimu afya mikopo na ajira na mazingira rafiki.

Mimi ni muumin wa serikali mbili. Mimi sikusoma, wasomi wtatuelekeza. je serikali tatu gharama zinakuaje? sisi walemavu tunataka huduma, kwanini hizi gharama za serikali ya tatu zisisaidie wenye ulemavu? Tusaidieni tutoke hapa tulipo sisi walemavu halafu ndo mfukirie kuongeza serikali ya tatu na ya nne. Watu wenye mahitaji maalum itamke ni watu wenye ulemavu. vipofu vigulu viwete ni maneno ya kutudhalilisha.

Kubomoa kunasababisha wajane na yatima. mkibomoa watakao pata tabu sana ni sisi walemavu. mimi naunga mkono serikali mbili
 
Kuna kiwete zezeta anaongea hapa, hajagusa hata kidogo kwenye rasimu ya kitaba mpya.
Anachojua yeye ni gharama na kulalamika mambo wanayotendewa walemavu wenzake huku mtaani.
 
Hawa watu wa kundi la 201 sijui waliokotwa wapi?
Hakuna anayejikita kwenye hoja iliyopo mezani (rasimu ya katiba) bali wanajikita tu kwenye matatizo yao binafsi dhidi ya warioba.
 
waheshimiwa, naomba mnijuze:

Mbona kila ninapojaribu kusikiliza mjadala wa bunge maalum.....

".......sisikii hoja za maana zinazojengwa katika ibara za rasimu ya katiba....."???

au,

"....ni mimi tu ndiye ninayesikia kuhusu......serikali mbili versus serikali tatu......""???

Kwanini iko hivyo.....................???

Au, rasimu yote ya katiba imejaa habari za serikali mbili au tatu tuuuuuuu??

Anyway, tungeni katiba yenu na sisi tunaotafsiri hiyo katiba na sheria mbalimbali tutatumia kadri itakavyowezekana.
wanajadili vifungu viwili tu na vinahusu muundo wa muungano ndo maana unasikia serikali mbili ama tatu.
 
Mm nnachoona...,ni kupambazana.akn wanachotaka wao weny nch tayar kipo
 
Hawa watu wa kundi la 201 sijui waliokotwa wapi?
Hakuna anayejikita kwenye hoja iliyopo mezani (rasimu ya katiba) bali wanajikita tu kwenye matatizo yao binafsi dhidi ya warioba.
Mkuu hawajaokotwa wameteuliwe kutoka kwenye makundi yao wanayofulsa nzuri na upeo mzuri sana wa kutoa mchango wao katika kutunga katiba.
 
Back
Top Bottom