Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
Baada ya maoni ya kipofu Mpanju sasa nimegundua ni kwanini Idd Amini alikuwa anawapakia kwenye lori na kuwamwaga mto Kagera.
siamini hiki ninachosoma hapa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya maoni ya kipofu Mpanju sasa nimegundua ni kwanini Idd Amini alikuwa anawapakia kwenye lori na kuwamwaga mto Kagera.
@Wa mjomba
Chanzo chao hadi kufikia hivo walivo huwa ni nini.... ?!
Serukamba hoja hana
zitto amejitahidi sana kuongea kiungwana, mm ni mzanzibari lkn nimefurahi sana na presentation yake.
nimesikitika sana na wazanzibari wenzangu wenye asili ya kiafrika kama mm kuwatukana na kuwatusi wenye asili nyengine au sehemu nyengine.
mapinduzi lengo lake ni kuondoa dhulma na kuondoa ubaguzi na kuweka misingi ya usawa
Mh. Amon Mpanju Jussa alinambia anapuuza taarifa na mimi ananipuuza. maneno haya yaliwaumiza walemavu. Tusimguse Mungu machoni kwani hakuna aliye amua kuwa mlemavu.
Tuache kupotosha watanzania. serikali tatu ni kaburi la Muungano. tuache kuhubiri ubaguzi la sivyo zanzibar watagawana mikoba na huku bara tatagawana mikoba. Tuache kuwapa nafasi wazandiki na wanafiki wa nchi hii. wanasema wana watu wakati hawana watu kalenga na chalinze ilionesha.
Hivi huyu kawahi pia ati kuwa Waziri wa....!?
hebu andika kidogo basi sista. maana wengine hatujui haya uyasemayo.Ya mchaga sasa mengine endelea