Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Serukamba hoja hana

Majina mengine hayafai kutajwa mkuu ukitaja au kuquote chochote kinachowahusu unatakiwa uanze na kuomba radhi! Vinginevyo utaonekana umedhamiria kuwatukana watu!

BACK TANGANYIKA
 
Mjumbe: Katiba hii ije na sura maalum ya Ardhi, Mali asili na Mazingira. Vinginevyo hatutaipitisha (anawakilisha wakulima)
 
Maziku:Tanzania ina ng'ombe zaidi ya Mil 21! Ni aibu Migodi iliyo Tanzania inaendelea kutumia nyama za kutoka nje ya nchi
 
Mtakutana na nguvu ya umma kupinga hiyo katiba yenu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
zitto amejitahidi sana kuongea kiungwana, mm ni mzanzibari lkn nimefurahi sana na presentation yake.

nimesikitika sana na wazanzibari wenzangu wenye asili ya kiafrika kama mm kuwatukana na kuwatusi wenye asili nyengine au sehemu nyengine.

mapinduzi lengo lake ni kuondoa dhulma na kuondoa ubaguzi na kuweka misingi ya usawa

Japo hujamsema/kumtaja jina yule mpuuzi, lakini hakuna shida,

Kilichotakiwa kufanzwa na kile ati kiti ni kumtaka alete ushaahidi wa yale aliyosema ati wakienda nje i. even OMAN, MISRI, SAUD ARABIA n'....

Tofauti na hapo awajibike maana asababisha watu kuishi kwa khofu katika nchi yao ilo huru.
 
Maziku: Kwenye rasimu zimeongelewa haki za wafanyakazi lakini haki za wakulima, wavuvi, wafugaji n.k hazijagusiwa! Patachimbika
 
Jussa ameshindwa kujibu mapigo yule mama asha alimmaliza kumwambia hajaufyatua hana mke wa watt kwa umri wake duuu lazima afyate.
 

Mh. Amon Mpanju
Jussa alinambia anapuuza taarifa na mimi ananipuuza. maneno haya yaliwaumiza walemavu. Tusimguse Mungu machoni kwani hakuna aliye amua kuwa mlemavu.

Tuache kupotosha watanzania. serikali tatu ni kaburi la Muungano. tuache kuhubiri ubaguzi la sivyo zanzibar watagawana mikoba na huku bara tatagawana mikoba. Tuache kuwapa nafasi wazandiki na wanafiki wa nchi hii. wanasema wana watu wakati hawana watu kalenga na chalinze ilionesha.

Kwa hiyo ina maana yeye Mpanju alimgusa Mungu machoni ndiyo maana akampiga UPOFU wa macho?! Eti Serikali 3 ni kaburi la Muungano! Huyu Mpanju amekuwa mpiga ramli siku hizi? Nafikiri Mungu hakumpiga UPOFU wa mcho tu, bali pia alimpiga UPOFU WA AKILI!
 
Kundi la wakulima,wafugaji na wavuvi wote wanaonekana kuunga mkono serikali mbili huku wakitaka mambo yanayohusu makundi yao yapewe kipao mbele ikiwemo maeneo ya malisho na maeneo kwa ajili ya kilimo.
 
Kosa kubwa la wanachama wa CCM ni kuikabidhi CCM yao kwa vijana ambao hawana uwezo kujibu hoja - hili ni tatizo kubwa sijui kama wao CCM wameliona!!

Kwa mfano vijana wa CCM badala ya kujibu hoja za Tume wakija na takwimu za ku-justify hoja zao, wao kazi yao kuwashambulia wazee wetu walioliongoza taifa hili tangu uhuru. Kisa tu wameleta mawazo ya watanzania mbele ya Bunge la Katiba kuhusu Muundo wa serikali.

Mfano mwingine Lissu katoa hoja na kuambatanisha ushahidi kwamba baadhi ya wanasiasa hawasemi wanachokiabudu, badala ya kuja na hoja za kujibu hoja wao tayari wameshaanza kuporomosha mitusi.
 
Zitto Kabwe ana busara mpaka zimemzidi kichwa chake
 
We we wassira usitishe watu akuna mahali tundu lissu amemtusi nyerer wala karume huo no unafiki na sisi tunasema usitutishe hii nchi siyo yenu nyie ccm
Mbona na wewe ulikuwa nccr mageuzi haya wanayo zungumza upinzani na wewe ndiyo ulikuwa unayazungumza? Huo ni unafiki wassira na tunakueleza usitutishe sisi wana nchi ndiyo tutakao amua muundo upi tunataka
Tukiwa uliza Leo Tanganyika iko wp utatujibu?
Tukiwauliza hii serikali tuliyo nayo imetokana name muungano was nchi zipi name ziko wapi utatujibu? Acha unafiki wako.
 
Msaada: Ni akina nani kama alivyosema Lissu walisubiri Mwl. Nyerere afariki ndio wakarudi ccm?
 
Back
Top Bottom