Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yaani ssm ya sasa inachekesha sana maana utamsikia hata yule dogo aliyechukua ubunge juzi chalinze akisema bila hata aibu kuwa "...tumuenzi mwalimu"!
 
... mawazo kuwa zanzibar haiwezi kujiendesha ni fikra mgando za baadhi ya wajumbe, na nadhani, wazanzibar walio wengi hawatakubariana na mawazo hayo.
... Lakini kumbuka mawazo hayo yanatolewa kwa njia iliyo rasmi na wawakilishi wao waliowaamini!
 

Amezunguuka saana kutaka kujificha kwa wakulima,wafugaji,wavuvi nk. Lakini mwisho kajitanabahisha yeye ninani.
 

bado hujaelewa na kuamini, endelea kusubiri.
 
Kwa hiyo ina maana yeye Mpanju alimgusa Mungu machoni ndiyo maana akampiga UPOFU wa macho?! Eti Serikali 3 ni kaburi la Muungano! Huyu Mpanju amekuwa mpiga ramli siku hizi? Nafikiri Mungu hakumpiga UPOFU wa mcho tu, bali pia alimpiga UPOFU WA AKILI!
Bavicha wengi wanaakili kama zako endeleeni na wehu wenu.
 
Pima cd4 coz viruses wako wanaonekana kushambulia sehmu za ubongo. Ndio maana unapoteza kumbukumbu kisha uwahi kulala na mazoezi ni muhim

Mbona hiki kitu hakina uhusiano na hii mada? Hivi tunazungumzia VVU hapa?
 
Kwani mtu akiwa mlemavu hawezi kuwa mfuasi wa chama cha siasa? Mbona mbunge wa Lindi mjini ni mbunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CUF?
Unapoongea Kumbuka ameenda pale akiwa anawakilisha walemavu wenzie wengi tu ambao wengine hawapendi ccm wala chama kingine chochote
 
kamwe mtumwa hawi bwana na wala mwanafunzi hawezi mwongoza mwalimu .rangi inayo baguliwa ni nyeusi nyeupe subutu!
 
Alikuwa akiongea kama vile pale inatengenezwa katiba ya tanganyika hajui na znz kuna wavuvi wengi tu

Hata mimi nimemshsngaa eti ni Dr halafu na mkewe mbunge Lolensia wa Jimbo la Busanda!!JK nomaaaa yaani we acha tu kaamua kuongezea kura za CCM na si uwezo
 
Tusubiri hyo jioni
Na ham ya kumsikia mtikila na lipumba jamani
 
Bavicha wengi wanaakili kama zako endeleeni na wehu wenu.
Endelea kuinamishwa na kundi la watoto wa mme wa baba yako!
Sindikiza wezi waibe mkishaiba we unapewa walinazi
Ukalale
 
Akili yako kama ukawa,umepofuta,hata wewe unaamini sahihi ya Karume ni fake?
 
Maskini! mpaka nawaonea huruma wajumbe wanaotetea serkali mbili. Niwepesi mno kwa hoja! Wananyanyaswa na wenzao wa serkali tatu kwa hoja nzito na rejeo (references) zilizoshiba!
Bi Asha Bakari Mtama, yeye akaishia kumjadili Ismail Jussa, na vitisho vya mapinduzi...maskini! Watu wanajadili serkali tatu, yeye anawaambia CUF hamuipati serkali SMZ tumepindua! Kumbe hofu ya CCM wa Zanzibar ni zikija serkali tatu wanaona CUF watachukuwa serkali?! Geni hili kwangu mie!
Ushauri: Maalim Seif waahidi hao CCM wa Zanzibar kwamba, kama wakikubali muungano wamkataba au japo serkali 3, wewe na CUF yako hamugombei tena Zanzibar....Hahaha! Angalau nasie tunonoooke...huu muungano untunamia vibaya
 
Asilimia kubwa ya wajumbe wa hili mnaloliita bunge la katiba ambalo mimi naliita semina elekezi ya chama cha mapinduzi hawajui kwanini wapo Dodoma na kama wapo wanaojua sababu basi wanaamua kwa makusudi kabisa kujitoa akili kwa kufanya upuuzi ambao utabaki kwenye kumbu kumbu rasmi hata miaka 100o baada ya vifo vyao!
 
Huyu Stephen Masatu Wasira ana kinyongo na Warioba maana alinyanganywa tonge la ubunge wa NCCR Mageuzi akaingia mitaani. Kosa lililomuondolea ubunge ilikuwa ni rushwa kwa kuonga wapiga kura katika uchanguzi wa 1995 uko Bunda


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…