Jussa ameshindwa kujibu mapigo yule mama asha alimmaliza kumwambia hajaufyatua hana mke wa watt kwa umri wake duuu lazima afyate.
Kama ulimsikia Jussa alisema hana muda kujibu watu kwa sababu yeye anajadili hoja na akili kubwa hujadili hoja ila akili ndogo hujadili watu,Mkuu wewe uko wapi hapo kujadili hoja au watu kiCCM