Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Kila nchi itajiendesha yenyewe,bila kuwa na ubaguzi,
 
- Zanzibar itapata fursa ya kujiwakilisha kwa mambo ambayo siyo ya muungano kimataifa

- Katiba kutovunjwa kwa JMT kuwakilisha SMZ ktk Jumuia ya Afrika Mashariki kwa mambo 13 kati ya 17 ambayo siyo ya muungano

- Kero zote za muungano kuondoshwa kwani kwa miaka 50 serikali 2 imeshindwa

- Manung'uniko na kutoaminiana yatafika mwisho kwa wazenji kuona wanaonewa
 
session ya jioni haijaanza?

Mi mweyewe nafungua link ya bunge inasema no longer stream, upane wa redio ijui kituo gani kinarusha ngoja tuvute subira watakuja wenye acess watuweke updates
 
Skype nashukuru sana mkuu japo nimechelewa.....Naona Lipumba anaunguruma hapa.
 
Last edited by a moderator:
Imeanza, na sasa Prof Lipumba ndio anachangia.

Ameanza kwa kusema Waziri Lukuvi ameanza kampeni ndani ya makanisa kushawishi wakristo kukataa serekali tatu.
Serikali tatu itapingwa na kila mpenda amani hapa nchini
 
Ni baada ya lipumba kumaliza kuongea hivi sasa. Wanajitoa rasmi, hawa ni wabunge wote wa vyama vya cuf,chadema na nccr mageuzi.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    541.2 KB · Views: 235
  • image.jpg
    image.jpg
    655.1 KB · Views: 81
Skype nashukuru sana mkuu japo nimechelewa.....Naona Lipumba anaunguruma hapa.
Anaunguruma kwani yeye ni simba? Sema anatema mate kama kawaida yake. Ukiwa karibu na Lipumba wakati anaongea, jihadhari kuwa mbali
 
Watetezi wa katiba ya wananchi ukawa wameamua kutoka nje ya ukumbi wa bunge na kuwaachia maccm waendelee na matusi yao.
 
Back
Top Bottom