The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 216
Nimemsikia mama Kabaka akisema kuwa jinsia ni tunu ya Taifa. Hoja yake kaijenga kwa kuwauliza wanaume kwamba wangejisikiaje kama wangekuwepo wanaume peke yao ndani ya bunge. Akaendelea kuwaulizia wangefurahi kama wangekuwa peke yao. Mmmmmmhh mimi nimebaki macho pima
Mkuu, hakika hili suala la takwimu limewaponza sana akina WariobaSasa anazungumza mapunda anahoji uhalali wa takwimu za tume ambazo anaona hazikuwa na uhalali kutokana na namna zilivyokusanywa hasa kwa kuacha maoni ya mabaraza ya kata na wilaya.
Hakika mkuu hata mimi nimeipenda sana walichofanya jf kwa kuweka hizi dondoo.Naona mods wamefanya utaratibu wa jana wa kuweka dondoo zote kwenye bandiko la kwanza, nawapongeza na nawashauri wanaotaka kufuatilia mtiririko mzima wadumu na bandiko hilo. Sisi tutaendelea kuweka nyongeza za yanayojiri. Heko moderators wote.
Ufafanuzi kamili ulishatolewa wakati wa kuwasilisha taarifa za kamati.kwa sasa ni kuchanana kwa kwenda mbelewaheshimiwa, naomba mnijuze:
Mbona kila ninapojaribu kusikiliza mjadala wa bunge maalum.....
".......sisikii hoja za maana zinazojengwa katika ibara za rasimu ya katiba....."???
au,
"....ni mimi tu ndiye ninayesikia kuhusu......serikali mbili versus serikali tatu......""???
Kwanini iko hivyo.....................???
Au, rasimu yote ya katiba imejaa habari za serikali mbili au tatu tuuuuuuu??
Anyway, tungeni katiba yenu na sisi tunaotafsiri hiyo katiba na sheria mbalimbali tutatumia kadri itakavyowezekana.
Sure mkuu kwa kiasi kikubwa tume ya warioba imedanganya sana kwenye takwimu mimi inanipashida sana kwa nini walifanya hivyo pengine wanayo ajenda yao ambayo hawajaweka wazi.Mkuu, hakika hili suala la takwimu limewaponza sana akina Warioba
wanajadili vifungu viwili tu na vinahusu muundo wa muungano ndo maana unasikia serikali mbili ama tatu.waheshimiwa, naomba mnijuze:
Mbona kila ninapojaribu kusikiliza mjadala wa bunge maalum.....
".......sisikii hoja za maana zinazojengwa katika ibara za rasimu ya katiba....."???
au,
"....ni mimi tu ndiye ninayesikia kuhusu......serikali mbili versus serikali tatu......""???
Kwanini iko hivyo.....................???
Au, rasimu yote ya katiba imejaa habari za serikali mbili au tatu tuuuuuuu??
Anyway, tungeni katiba yenu na sisi tunaotafsiri hiyo katiba na sheria mbalimbali tutatumia kadri itakavyowezekana.
Mkuu hawajaokotwa wameteuliwe kutoka kwenye makundi yao wanayofulsa nzuri na upeo mzuri sana wa kutoa mchango wao katika kutunga katiba.Hawa watu wa kundi la 201 sijui waliokotwa wapi?
Hakuna anayejikita kwenye hoja iliyopo mezani (rasimu ya katiba) bali wanajikita tu kwenye matatizo yao binafsi dhidi ya warioba.