respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Mapunda:ukizoea kusema uongo utaendelea kuishi kwa uongo
Huyu naye ni kichaa sasa bila kujuwa kwamba kuna vipofu yangeandaliwa maandishi maalum na fimbo nyeupe?Ali Omari Makame anasema;
Hii katiba tuliyo nayo imerekebishwa mara 11 lakini mambo ya ulemavu hayamo. walemavu tunataka elimu afya mikopo na ajira na mazingira rafiki.
Mimi ni muumin wa serikali mbili. Mimi sikusoma, wasomi wtatuelekeza. je serikali tatu gharama zinakuaje? sisi walemavu tunataka huduma, kwanini hizi gharama za serikali ya tatu zisisaidie wenye ulemavu? Tusaidieni tutoke hapa tulipo sisi walemavu halafu ndo mfukirie kuongeza serikali ya tatu na ya nne. Watu wenye mahitaji maalum itamke ni watu wenye ulemavu. vipofu vigulu viwete ni maneno ya kutudhalilisha.
Kubomoa kunasababisha wajane na yatima. mkibomoa watakao pata tabu sana ni sisi walemavu. mimi naunga mkono serikali mbili
Sixtus Mapunda anaendelea kuwachanachana hawa makanjanja wanaolilia muungano wa serikali tatu
Mkuu hawajaokotwa wameteuliwe kutoka kwenye makundi yao wanayofulsa nzuri na upeo mzuri sana wa kutoa mchango wao katika kutunga katiba.