Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Its very strange mjumbe wa bunge maalum la katiba anatumia dk zake zote za kuwakilisha hoja yake bungeni kwa kumchambua na kumuelezea mjumbe mwingine
 
Tunatana Muungano wa Tanzania na Tanganyika sasa. Zanzibar ni zamu yao sasa kuvaa koti la muungano. Badala ya kuleta hoja ya serikali mbili mnazozing'ang'ania, mnatafuta visingizio. Propaganda hizi hazina nafasi tena.
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, umenifanya nicheke sana mkuu hata wwashikaji nimewaonyesha hapa mwingine kapaliwa na maji... hahaaaaaaaaaaaaaaa

kula like 10000

Mimi mwenyewe kanivunja mbavu sana.
 
Chachu Ombara
Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa,

Anasema ni mjumbe kati ya wajumbe 201 na ni mwakilishi wa taasisi ya Anglikana na ameagizwa na askofu kusema haya,

Muundo wa mamlaka kamili ya tanzania yawe ya muungano wa s2.
===>Linganisha na ya Lukuvi majibu utayapata sijui FaizaFoxy Ritz na CHAMVIGA wanasemaje kuhusu haya matamko na imani zao?
 
Last edited by a moderator:
Kweli sikio la kufa halisikii dawa CCM wametuunganisha WAPINZANI tunawashukuru sana sasa imebaki kusajili UKAWA kama chama cha siasa tukutane 2015.
 
Wana jamvi kuna taarifa kuwa watetezi wa katiba ya wananchi(ukawa) watapita kila kaya nchini kote kupiga mikutano ya kukusanya nguvu za wananchi kudai katiba mpya yenye maoni ya wananchi kama walivyo ya toa mbele ya tume ya warioba,wajumbe wa ukawa wametoka kutokana na mwenendo mbaya wa bunge unao fanywa na wajumbe walio wengi wanao dharau maoni ya wananchi yaliyo tengeneza rasimu iliyo pendekeza mfumo wa serikali 3 ambayo inajadiliwa bungeni huku upande wa ccm wanataka serikali 2 ziendelee kinyume na maoni ya wananchi walio taka 3 gorvement
 
Hivi hawa watu wanaojita UKAWA wanafikilia kweli vichwani mwao,wananchi mpaka saizi hatujawaelewa bado ni kitu gani hasa kilicho wafanya msuse bunge kwa sababu Mh Lipumba hoja alizotoa mimi naona kama ni za kitoto eti anasema wamechoka kubaguliwa , kunyanyaswa na kutukanwa wanasahau kujiuliza mbona na wao walivyo kuwa wanawatukana wenzao walivumilia mfano mzuri ni MH TUNDULISU alikuwa anatoa maneno mabaya dhidi ya upande wa wapili mbona hatukuona wanasusa bunge hata wao yalikuwa yanawauma lakini walivumilia .UKAWA kaeni mjitafakari na mjichunguze wenyewe kwanza na mjisahihishe najua mtarudi mbungeni hizo ni mbwembwe tu,UKAWA jiulizeni mmetumia kiasi gani cha kodi ya wananchi kwa siku mlizo kaa eti leo mtoka bungeni kizembezembe wananchi hatujawaelewa mpaka saizi rudini bungeni mkashindane kwa hoja ndio maana jamii inawona kama mna lenu jambo .Nawasilisha
Taja hayo maneno mabaya aliyosema sio unakurupuka tu
 
Basi kama hawajiwezi, si wakubaliane na serikali moja? Hao wabunge unaowasikia ni wanafiki tu, na wengi wao hawatarudi 2015 kutokana na hasira walizinazo wananchi wengi wa Zanzibar.

Kama alivyosema Zitto Kabwe, cha msingi ni maridiano na sio suala la sijui chama kioja, viwili, vitatu au vinne. Na hapo anachomaanisha ni kujali wananchi wanataka ni nini? Uchama umetawala sana kiasi cha kutia hasira hata kulitazama hilo bunge lenyewe.
 
I would suggest vyama vya upinzania visiishie hapa, viungane viunde chama kikubwa chenye nguvu

Hakika mkuu....kama wanaweza kuwa wamoja namna hii.....naamini intarahamwe watasambaratika
 
....

.....Udhaifu wa Akili Kichwani...
(UWAKI) ni Hatari kwa Afya ya Taifa letu
attachment.php


Nini hiki????!!!
Ilikuwaje kwani???!!
 
Its very strange mjumbe wa bunge maalum la katiba anatumia dk zake zote za kuwakilisha hoja yake bungeni kwa kumchambua na kumuelezea mjumbe mwingine

Mipasho kaka ndiyo zetu sisiem hatuna hoja inabidi tufanye hivyo
 
Leo kimetokea kituko baada ya wale wanafiki wenye lengo baya na Tanzania kutoka nje baada ya kuonyeshwa mkataba wa muungano.

Wanafiki hao walipigwa na butwaa baada ya kuona mkataba huo live bila chenga. Ndipo walipoona wamefilisika kwa hoja na kukimbia.

Umeongea usichokiamini, jitambue.
 
Back
Top Bottom