mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Sidhani kama ni busara mnachokifanya,kweli mmetuangusha sana, binafsi nimekua very disappointed yaani mmegeuza hapo kua kama big brother......kama hamtaki kushiriki rudisheni hiyo pesa ni kodi zetu na kwa taarifa yenu mwaka 2015 CCM inashika dola tena na mtasubiri sana hakuna serikali 3, hizo taama zenu za madaraka achaneni nazo mkafanye shughuli zingine za maendeleo kwani lazima mshike dola ? RUDISHENI POSHO