Kweli wewe ni mtu wa ajabu unajifanya kusahau lakin sio mbaya ngoja nikukumbushe siku ,siku TUNDULISU anawasilisha hoja za wachache alitumia maneno makali mpaka Mwenyekiti kamwamulu kuyafuta au umesahau mkuuTaja hayo maneno mabaya aliyosema sio unakurupuka tu
Hakika mkuu....kama wanaweza kuwa wamoja namna hii.....naamini intarahamwe watasambaratika
babtutu
===>Mimi nimesha i Block isije ikaharibu imani na msimamo wa familia yangu,mpaka kombe la dunia likianza ndio naifungua.
Wana jamvi kuna taarifa kuwa watetezi wa katiba ya wananchi(ukawa) watapita kila kaya nchini kote kupiga mikutano ya kukusanya nguvu za wananchi kudai katiba mpya yenye maoni ya wananchi kama walivyo ya toa mbele ya tume ya warioba,wajumbe wa ukawa wametoka kutokana na mwenendo mbaya wa bunge unao fanywa na wajumbe walio wengi wanao dharau maoni ya wananchi yaliyo tengeneza rasimu iliyo pendekeza mfumo wa serikali 3 ambayo inajadiliwa bungeni huku upande wa ccm wanataka serikali 2 ziendelee kinyume na maoni ya wananchi walio taka 3 gorvement
Hivi hawa watu wanaojita UKAWA wanafikilia kweli vichwani mwao,wananchi mpaka saizi hatujawaelewa bado ni kitu gani hasa kilicho wafanya msuse bunge kwa sababu Mh Lipumba hoja alizotoa mimi naona kama ni za kitoto eti anasema wamechoka kubaguliwa , kunyanyaswa na kutukanwa wanasahau kujiuliza mbona na wao walivyo kuwa wanawatukana wenzao walivumilia mfano mzuri ni MH TUNDULISU alikuwa anatoa maneno mabaya dhidi ya upande wa wapili mbona hatukuona wanasusa bunge hata wao yalikuwa yanawauma lakini walivumilia .UKAWA kaeni mjitafakari na mjichunguze wenyewe kwanza na mjisahihishe najua mtarudi mbungeni hizo ni mbwembwe tu,UKAWA jiulizeni mmetumia kiasi gani cha kodi ya wananchi kwa siku mlizo kaa eti leo mtoka bungeni kizembezembe wananchi hatujawaelewa mpaka saizi rudini bungeni mkashindane kwa hoja ndio maana jamii inawona kama mna lenu jambo .Nawasilisha
UKAWA imekula kwenu Prof anabuluzwa na waliopata zero hiyo kaliIntarahamwe imekula kwenu.
Hivi hawa watu wanaojita UKAWA wanafikilia kweli vichwani mwao,wananchi mpaka saizi hatujawaelewa bado ni kitu gani hasa kilicho wafanya msuse bunge kwa sababu Mh Lipumba hoja alizotoa mimi naona kama ni za kitoto eti anasema wamechoka kubaguliwa , kunyanyaswa na kutukanwa wanasahau kujiuliza mbona na wao walivyo kuwa wanawatukana wenzao walivumilia mfano mzuri ni MH TUNDULISU alikuwa anatoa maneno mabaya dhidi ya upande wa wapili mbona hatukuona wanasusa bunge hata wao yalikuwa yanawauma lakini walivumilia .UKAWA kaeni mjitafakari na mjichunguze wenyewe kwanza na mjisahihishe najua mtarudi mbungeni hizo ni mbwembwe tu,UKAWA jiulizeni mmetumia kiasi gani cha kodi ya wananchi kwa siku mlizo kaa eti leo mtoka bungeni kizembezembe wananchi hatujawaelewa mpaka saizi rudini bungeni mkashindane kwa hoja ndio maana jamii inawona kama mna lenu jambo .Nawasilisha
kama wewe ni mwanasiasa basi umavulugwa,kama weqwe ni mshabiki wa siasa basi hujielewi,shabikia ujenzi wa viwanda tupate ajira vijana na sio kushabikia kuvunjika kwa bunge utaambulia nini? wanaotaoka nia yao ni kupata sehemu ya kujipa madaraka,wewe? jitambue,shabikia lililojema na sio kushabikia ujinga,
Hivi hawa watu wanaojita UKAWA wanafikilia kweli vichwani mwao,wananchi mpaka saizi hatujawaelewa bado ni kitu gani hasa kilicho wafanya msuse bunge kwa sababu Mh Lipumba hoja alizotoa mimi naona kama ni za kitoto eti anasema wamechoka kubaguliwa , kunyanyaswa na kutukanwa wanasahau kujiuliza mbona na wao walivyo kuwa wanawatukana wenzao walivumilia mfano mzuri ni MH TUNDULISU alikuwa anatoa maneno mabaya dhidi ya upande wa wapili mbona hatukuona wanasusa bunge hata wao yalikuwa yanawauma lakini walivumilia .UKAWA kaeni mjitafakari na mjichunguze wenyewe kwanza na mjisahihishe najua mtarudi mbungeni hizo ni mbwembwe tu,UKAWA jiulizeni mmetumia kiasi gani cha kodi ya wananchi kwa siku mlizo kaa eti leo mtoka bungeni kizembezembe wananchi hatujawaelewa mpaka saizi rudini bungeni mkashindane kwa hoja ndio maana jamii inawona kama mna lenu jambo .Nawasilisha
I would suggest vyama vya upinzania visiishie hapa, viungane viunde chama kikubwa chenye nguvu