Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Ahsanteni sana UKAWA maana mumebeba taswira ya Watanzania tulio wengi. Mubarikiwe.
 
Chama cha kijani ni zaidi ya ukijuavyo, wengi wao waliomo ndani wanalinda maslahi ya matumbo yao, watakula wapi endapo wakisema ukweli mkuu?. kumbuka kuwa kila mwamba ngozi, huvutia upande wake, je endapo wana CCM wakijichoma wenyewe kwa ukweli, unadhani ngozi yao itavutwa na nani?

hebu tazama siasa za nchi nyingine duniani, vyama tawala huwa vinatawala vipi nchi?

je, endapo vyama tawala vikiwa vinajipiga sindano za ukweli, unadhani wapinzani watakula wapi??

kiufupi, wana wa kijani wapo pale kimasilahi..
 
Naona na wewe ni mmoja kati ya waliotoka, vp umeshasaini posho?! Kwa nn unakimbia kama unaamini hoja yako ina nguvu? Kajifunzeni siasa na bahati mbaya Mwl wa siasa Mwl Nyerere mna mdhihaki kweli hamuwezi kufanikiwa.
 
Inabidi uhurumiwe sana kwa kuwa kana kwamba leo ndiyo unaingia hapa duniani lakini mimi sikushangai sana kwa kuwa ni miongoni mwa watu ambao akili yao wameshikiwa na ukawa pamoja na vyama vyao vya siasa.
 
Wewe peke yako ndio uwaelewi ndio maana hujaelewa kabisa.
Unahitaji kichwa kingine chenye uwezo zaidi yako kifikiri badala yako!
Umefungwa na udanganyifu wa zaidi ya miaka hamsini sasa!
 

....well Noted Mkuu asante sana !!!
 
Kwani serikali tatu inagawa madaraka kwa chadema?
 
Kusema cha ukweli wabunge wa zenji CCM wamejidhalilisha sana
 

ccm ni kichaka cha vijana wavivu wanaojiita wasomi! kama huamini angalia utendaji wa vijana wanaccm wasomi kwenye ofisi za umma!
 
Hakuna mwenye utashi wa kiasiasa kati ya wale,tupo hapa tutaona mwisho wao,leo lipumba yupo pamoja na prof safar ijulkane kuwa Safar aliikimbia cuf baada ya kuona hawez chukua mikoba ya lipumba,sasa leo lipumba,safar,mbowe,mbatia hahahahahahaaha hakuna anaetaka kuwa chin hapo watazid aibika tu wananch ndo sisi na sisi ndo tumeipigia kura CCm chaguz ndogo zote inashinda kwa kishindo...


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…